Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

Si tulikubaliana tunaacha kula kuku wa kizungu?

Wa kienyeji ndo deal bwasheee
 
Sio matangazo ya kifo hadi atangazwe hadharani
Mwanaume akiwa na pisi kali huwa anajiamini sana, utamuona mda wote anataka atembee pamoja na mwenzake; ila ikiwa mbovu sasa, anamwambia tangulia tutakutana kanisani πŸ˜€
 
Kwa wewe mwenye fleva za Shepu zahivo kuna wanaopenda flat/ potabo kabisa!

Hayanaga fomula. Au nasema uongo My king ☺️??
Najua lazima wakujitetea wawepo πŸ˜€ πŸ˜€; ebu toa maoni yako kuhusu hiyo picha kwanza, anashawishi ama hashawishi?
 
Dah
Yeah ni kweli kuna demu mmoja alivyonikubalia tu nikamnunulia IST kama gari ya dharura wakati nimemuagizia BMW sasa akawa anachelewa chelewa kujibu meseji zangu nikaachana nae na hiyo IST nikamuachia
Uko vizuri mkuu!! Natumai familia na ndugu zako pia unawazingatia/ushawazingatia!! 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…