Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha.

Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na mwanamke.

Na kwa sasa tunapokaribia siku ya wapendanao, wapo wanaume wameshaanza kupigwa mizinga ya hapa na pale.

Swali la kujiuliza, anayekupiga mzinga ana shepu ya namna gani?

Hii ndio shepu ya kupiga mizinga, kama hana muonekano huu vaa viatu ukimbie haraka.
View attachment 2900753
Si tulikubaliana tunaacha kula kuku wa kizungu?

Wa kienyeji ndo deal bwasheee
 
Sio matangazo ya kifo hadi atangazwe hadharani
Mwanaume akiwa na pisi kali huwa anajiamini sana, utamuona mda wote anataka atembee pamoja na mwenzake; ila ikiwa mbovu sasa, anamwambia tangulia tutakutana kanisani 😀
 
Kwa wewe mwenye fleva za Shepu zahivo kuna wanaopenda flat/ potabo kabisa!

Hayanaga fomula. Au nasema uongo My king ☺️??
Najua lazima wakujitetea wawepo 😀 😀; ebu toa maoni yako kuhusu hiyo picha kwanza, anashawishi ama hashawishi?
 
Dah
Yeah ni kweli kuna demu mmoja alivyonikubalia tu nikamnunulia IST kama gari ya dharura wakati nimemuagizia BMW sasa akawa anachelewa chelewa kujibu meseji zangu nikaachana nae na hiyo IST nikamuachia
Uko vizuri mkuu!! Natumai familia na ndugu zako pia unawazingatia/ushawazingatia!! 😁
 
Back
Top Bottom