Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #81
ha ha ha, ebu tuonyeshe huyo anayekula hela yakoSema anastahili kula hela yako wewe, usitupangie wa kula hela zetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha, ebu tuonyeshe huyo anayekula hela yakoSema anastahili kula hela yako wewe, usitupangie wa kula hela zetu
Hisia haziamshwi kwa akiliMkuu shape pekee ndo ikufanye utoe hela...vipi kuhusu akili?
Si tulikubaliana tunaacha kula kuku wa kizungu?Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha.View attachment 2900753
Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na mwanamke.
Na kwa sasa tunapokaribia siku ya wapendanao, wapo wanaume wameshaanza kupigwa mizinga ya hapa na pale.
Swali la kujiuliza, anayekupiga mzinga ana shepu ya namna gani?
Hii ndio shepu ya kupiga mizinga, kama hana muonekano huu vaa viatu ukimbie haraka.
Kama hapigi mizinga sawa; ila honga pesa yako kwa pisi mwenye muonekano kama nilio wawekea.Si tulikubaliana tunaacha kula kuku wa kizungu?
Wa kienyeji ndo deal bwasheee
Sio matangazo ya kifo hadi atangazwe hadharaniha ha ha, ebu tuonyeshe huyo anayekula hela yako
Ila hawanaga Ile natural ordour! Wanatumia mavipodozi sanaSio shep tu hapo bado haujagusa upaja, utakutana na ngozi laini halafu nyororo sio poa.
Ushubwada 😂😂😂Hizo ndio pisi sasa
Ndiioooo ndiiiiioooooo! Ilimradi utelezi upo ama nene!
Hahahah we tamba na salala tu mifupa kibao kmmmk.😂Kabisa...ila hii mizigo itakuwa mitam maana shape tuu mwenyewe u apagawa. Wacha wenye hela wafaidi stake sie wengine tule nyama mchanganyiko
Mwanaume akiwa na pisi kali huwa anajiamini sana, utamuona mda wote anataka atembee pamoja na mwenzake; ila ikiwa mbovu sasa, anamwambia tangulia tutakutana kanisani 😀Sio matangazo ya kifo hadi atangazwe hadharani
Ushalogwa na wadada wa uswazi wewe😜Hawanaga utamu wowote hawa, haujakutana na kina fatuma wewe.
Kumbe umenunuliwa gari na hausemi😀😀Ee ndyo 😃😃
Uko vizuri mkuu!! Natumai familia na ndugu zako pia unawazingatia/ushawazingatia!! 😁Yeah ni kweli kuna demu mmoja alivyonikubalia tu nikamnunulia IST kama gari ya dharura wakati nimemuagizia BMW sasa akawa anachelewa chelewa kujibu meseji zangu nikaachana nae na hiyo IST nikamuachia
Kwamba wapo???Mhhh Utakuwa una ota🤔😂
Duh nitoe gari kwa demubsio mke wangu mbona kazi!!Ndio
Nasema uwongo financial services