Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kwahiyo akishangilia Raisi ndio sahihi?We ndio moumbavu,hivi unajua waislamu wengi wanaushangilia huu mwaka wa kizungu,kuutambua haina shida .shida ni kuushangilia,wanaoushangilia akiwemo rais mstaafu mmoja muislam safi wanaelewa maana yake au ni kujitoa akili.soma uelewe
Sio content inaonyesha hujiaminiKwani nikijifanyq muislam au nikiwa muislam au mpagani shida nini??angalia content uache kushabikia sherehe zisizokuhusu
Waafrica tuanzishe kalenda yetu kama vipiAnother bullshit here.
Kiuhalisia hakuna mwafrika anayehusika na dini yoyote kati ya hizi mbili, wahusika wenyewe ni watu weupe (wazungu na waarabu)
Kama wewe ni mweusi na una midomo mipana na unajiita Muislamu au Mkristo basi tambua hauna akili sababu wewe ni follower tu wa hizo dini na sio mlengwa wala muhusika.
Sema Waafrika weusi wote wanafuata Calendar ya Mzungu, huu ndio uhalisia.
Sina Mda WA kujadili na mtu mpuuziUsinichagulie dini wala style ya kuandika lete majibu kwa nininunasherehekea mwaka mpya wa kizungu
Shule za kiislam zingekiwa zinafata Islamic calendar.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Wewe unakitu gani chako?hata simu na elimu ya kuandika umeletewa acha kuhoji mambo ya kibwegeUsinichagulie dini wala style ya kuandika lete majibu kwa nininunasherehekea mwaka mpya wa kizungu
Usichanganye imani na material thingsWewe unakitu gani chako?hata simu na elimu ya kuandika umeletewa acha kuhoji mambo ya kibwege
Mnajipa uwehu na hizo theoery zenu kuwa dini zilibuniwa.nikuambie tu short cut.hakuna dini ilibuniwa.kila generation ilikuwa na muonyaj wake aliyewakemea wale walio anza kuishi kama wanyama.na kila aliyewaonya aliwaambia mcheni mungu nafsi kukuongoza kufanya wema.kujisalimisha kwa mola.Kuna watu wanateseka sana hapa Duniani, huyu aliyebuni na kuzianzisha dini alijua kuwanyoosha binadamu.
Hamli nguruwe mbona mnakula Ngamia na ni Najisi?Usichanganye imani na material things
Huwezi kuwa sheikh unaacha kula nyama ya nguruwe ila mchuzi wake unakula tusihoji kisa dini umeletewa
Sawa Lakini Vifupisho kama A.D na BC viliundwa na mkatoliki alioitwa Dionysius Exiguus mwaka 525 ila vimeanza kutumika Karne ya 16 miaka 1000 katika mwaka wa 1500s baada ya kifo cha Mtume Japo wayahudi na waarabu ,wachina wabudha na wengine wasio amini kristo hawatumii kugha hii wao hutumia B.C.E badala ya BC Na C.E Badala ya A.D (Maana yake Before Common Era na In the Common era)Uislam ulikuja miaka 600 baada ya ukiristo.
Uislam ana mengi ya kujifunza kutoka kwa kaka yake
Miaka ya kiislamu hutumika UAE Yote (United Arabs Emirates) na zaman ulitumika Zanzibar pale ilipokuwa ni Serikali ya kisultaniNdio unajua leo? Tuambie huu ni mwaka gani. Hiyo miaka yenu ya kiislamu matumizi yake ni misikitini. Acha unafiki kijana.
Shughulikia maisha yako, haya mambo ya Mashariki ya kati yatakupotezea muda.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Mwakampya unasherkewa sana kaka hujafatilia tuMbona hawasherehekei huo mwaka mpya wao,nasikia tu mwezi shabani,ramadhani etc
Na ukiubeba utaumia.Dini ni mzigo mzito