Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Mashindano tayari, kwahiyo ikiwa mfano ni ya kikristu? Yani hampendi amani kabisa mtakuwa na undugu na lucifer tu.
 
Kwa hiyo mwaka mpya wa Gregorian Calender hamuutambui?
 
Tunatakiwa tumuheshimu Issa pia. Kwa hiyo sio kosa kushrehekea Bithday ya Siasa a.s
 
Dunia inaendeshwa na Wakristo hivyo hakuna namna
 
Unamshukuru Alah kuuona mwaka mpya wa Kikristo ulioanzishwa na Papa Gregory wa kanisa Katoliki.

Safi sana
 
Yesu alivaa nini ? Alivaa raba ?

Tunautambua kwa kujua idadi ya maika kwa ufupi muda. Hatusherehekei sababu ni matumizi mabaya ya akili, muda na rasilimali.
Kuna waislam wengi sana wanasherehekea
 
muislamu gani aliyesoma asilijue hilo? sasa kwa vile tuko katika ulimwengu wa watu wa dini zote tunanyamaza na kuwaachia wahusika washerehekee kama vile wanavyosherehekea wahindu na mayahudi na dini nyingine.

Na sisi ukifika mwaka mpya wetu tunasherehekea ijapokuwa siyo utamaduni wetu kufanya sherehe.
 
Sasa kama mnautambua kwa nini mnakasirika waislam wenzenu wakisherehekea mwaka mpya?
Sababu ni wajinga na wanakwenda kinyume na dini, kutambua jambo Fulani haimaanishi ya kuwa jambo husika ulifanye. Weka akilini hili.
 
Yesu alivaa nini ? Alivaa raba ?

Tunautambua kwa kujua idadi ya miaka kwa ufupi muda. Hatusherehekei sababu ni matumizi mabaya ya akili, muda na rasilimali.
Kuusherehekea ni kosa, Ila kuutumia ni Sawa.

Ni sawa na mtu anayekataa kula nyama ya nguruwe ila mchuzi wake anakunywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…