Diaspora wengi hasa wa US walikuwa wameanza kutuma pesa zaidi kwasababu ya urahisi wa kutuma pesa. Kwa kutumia hizi Apps. Lakini inaelekea Serikali imeonzeza sana sheria kiasi kwamba inaweza kufanya watu waache kutumia hizi app na kupunguza mapato makubwa kwa nchi.
Maswali ya uraia, kutuma picha yako sio maswala madogo sana kwa wana diaspora wanaoishi nje maana wengi wao wameshapata kashehe zao kutokana na kutoa habari zao hovyo hasa kwa watu wasio na mazuri. Lakini kwa sababu hawajui sababu ya msingi ya serikali kuhitaji picha ya mtumaji wanafikiria kuna agenda nyingine ambazo hazina uhusiano wowote hivyo wengi wao wakiombwa pesa za misaada midogo midogo hawata tuma wasiwasi wangu. Kutumia bank huwezi kutuma pesa ndogondogo.