Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

Hii app ni msaada sana kwa diaspora waliopo nchi za magharibi kutuma hela nyumbani kwa urahisi na haraka.
 
Hivi raia mwema unaogopaje polisi? Watumiaji wa West Union, hivi yale maswali ya fomu mnayoulizwa juu ya aliyekutumia, kabla ya kupokea pesa zenu sio kuingilia uhuru wa mtu?
 
Nchi gani hizo za dunia ya kwanza unakoweza kutuma pesa kiholela? Ebu jaribu kutuma pesa USA uone kama zitapokelewa bila kukujua wewe ni nani. Tusiongelee mambo ya kufikirika tu, tuongeeni vitu halisi.
Sijui unabisha nini?!
Kutuma pesa kutoka nje sio kutuma kutoka Tz
Naongelea walioko nje wanatuma Tz
Umekurupuka kujibu
Mnajfanya mnajua kila kitu
Siku nyingine tuliza akili
 
Kwani nchi za magharibi ndizo zinazotuma pesa au ni mtu mmoja mmoja? Wao kama nchi sioni wanaathirikaje na hili?
Unaishi wapi kwani?
Nchi za nje hawakubaliani na huu upuuzi kwa raia wake hata kama ni mmoja mmoja
 
Pakawa,

Privacy ipi mkuu. Nambie Niko Ujerumani hapa. Huwezi tuma hela bila data zako Ambazo zipo mpaka kwenye kibali chako cha kuishi. Na mahali unapoishi. Usiingize Siasa katika kila jambo mtauza nchi.
 
Hapo sababu Ni kupambana na FEDHA chafu..if pesa yako ninhalali why ushindwe weka picha?
This is too much.Ni ku discourage pesa zosiibgie nchini tu. hivi Tanzania hawataki pesa za kigeni? Tunazo nyingi za kutosha au?

Kuna watu hu donate pesa hawataki kujukikana hasa watu wa dini wanaoamimini kuwa utoapo sadaka hata mkono wa kushoto usijue.Kwa hili sikubakiani.Njia Kama za Western Union nk zimewekwa makisudi kusaidia watu Kama hao.

Hili swala la utakatishaji fedha linaenda beyond Sasa linavuruga uchumi.Hao wataalamu walioshauri hivi Ni wauaji wa uchumi kitaalaamu wanaitwa economic Hitmen.Kenya wenzetu pesa unayotakiwa kutolea maelezo hata ukiweka benki Ni kuanzia dola laki tano sawa na shilingi za Tanzania billion mbili .Sisi hapa Kuna upumbavu mkubwa tunakomalia hata vihela vidogo vya Mpesa na Tigo pesa .Kuna wajinga serikalini wanataka kuua uchumi kumkomesha Magufuli kwa kutumia utaalamu wao!

Hili haliko sawa.

Fikiria mtu Ana kakituo ka yatima ka masista katoliki kaomba donation nje ya dola kumi kwa mtoto yatima halafu unampa masharti mtumaji akapige picha Sijui Nini ndio atume hawezi kukubali kupotezewa muda na kuongezeka gharama kijinga hivyo hatumi
 
Mkuu nchi gani unatuma tu pesa bila details zako. Vitambulisho mpaka mtaa unaokaa. Msiwaze Siasa tu kila wakati, mtauza Nchi. Sema wangeboresha database na kufanya data za watu Ziwe centralized kupunguza maswali ya kijinga kila Mara unapohitaji huduma za msingi.
Wewe naona unaishi dunia ya kwako ya kizamani unadhani kila mtu lazima ajaze mikatatasi midole gumba misahihi akitaka kutuma hela
Mfano PayPal ukiuza kitu online mtu akinunua kitu Chako mtandaoni pesa inaingia straight kwenye Simu yako ya kiganjani nenda uone Kenya tu happy.Sasa Mfano unauza wimbo wako online ulioweka unataka kila mnunuzi Chukulia tunmgano hata upo Tanzania unauzia mtanzania mwenzio hapa hapa kuwa akinunua wimbo wako kukutumia pesa lazima aambatanishe picha yake,maelezo ya kitambulisho Cha taifavanapokaa no.Hivi Nani atanunua wimbo wako? Sembuse mtu wa nje? Mtu wa nje ukimpa hiyo misharti ya kutuma pesa hatumi anakuacha kaa na ujinga wako kuwa huwezi nipoyezea muda na kunifanya nianike taarifa zangu hadharani.Picha yangu ikiienda tumika vibaya na details zangu itakuwaje
 
good news, nimekua mtumwa wa WU app ambao wana makato makubwa mno ( 104 USD sent ila unapokea TSH. 197,000 ivi )
 
Watu wa forex na cryptocurrency hawajaadhirika kweli?
 
Back
Top Bottom