Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

Hilo umeliwaza katika angle moja, je umejiuliza kuhusu usalama wa nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Tanzania Ina Nini mpaka kutwa ohh usalama wa nchi nchi usalama wa nchi .Kenya,rwanda,Zambia,Malawi,Mozambique kote huko zinaingia pesa bila masharti huo usalama wa nchi wa katishiwa na vipesa vidogo vya Mpesa,Tigo pesa ,airtel.money nk kutoka nje Ni upi? Na vipesa vidogo vya Western Union Ni upi?

Njia za upokeaji pesa zinatakiwa kuwa rahisi .Sheria zitungwe ku facilitate sio kuzuia
 
This is too much.Ni ku discourage pesa zosiibgie nchini tu. hivi Tanzania hawataki pesa za kigeni? Tunazo nyingi za kutosha au?

Kuna watu hu donate pesa hawataki kujukikana hasa watu wa dini wanaoamimini kuwa utoapo sadaka hata mkono wa kushoto usijue.Kwa hili sikubakiani.Njia Kama za Western Union nk zimewekwa makisudi kusaidia watu Kama hao.

Hili swala la utakatishaji fedha linaenda beyond Sasa linavuruga uchumi.Hao wataalamu walioshauri hivi Ni wauaji wa uchumi kitaalaamu wanaitwa economic Hitmen.Kenya wenzetu pesa unayotakiwa kutolea maelezo hata ukiweka benki Ni kuanzia dola laki tano sawa na shilingi za Tanzania billion mbili .Sisi hapa Kuna upumbavu mkubwa tunakomalia hata vihela vidogo vya Mpesa na Tigo pesa .Kuna wajinga serikalini wanataka kuua uchumi kumkomesha Magufuli kwa kutumia utaalamu wao!

Hili haliko sawa.

Fikiria mtu Ana kakituo ka yatima ka masista katoliki kaomba donation nje ya dola kumi kwa mtoto yatima halafu unampa masharti mtumaji akapige picha Sijui Nini ndio atume hawezi kukubali kupotezewa muda na kuongezeka gharama kijinga hivyo hatumi
Umeandika Vizuri.Ila Moja Ya Jambo Linalo wacost Wa Kenya Ni Pamoja Na Kuruhusu Miamala mikubwa Ya Fedha kutoka Njee Ya Nchi.Fwatilia matukio Ya Mauaji(Utekaji) Kenya yale Yanayo Fanya na Alshababu fedha za kufadhili ayo makitu zinatoka njee.
kwa Miamala iyo unayotaka Nchi yetu pia iruhusu.kwa ili mimi naipa Big EKO serikali iendelee kuweka mkazo wa maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaishi wapi kwani?
Nchi za nje hawakubaliani na huu upuuzi kwa raia wake hata kama ni mmoja mmoja

Wewe ulishawahi kutuma pesa nje ya tanzania ukajua masharti yao? Kama upo uk au urusi jaribu kutuma usa au spain ndo utajua masharti, sio unatuma tanzania tu kisha unajifanya unajua masharti ya nchi nyingine.
 
Umeandika Vizuri.Ila Moja Ya Jambo Linalo wacost Wa Kenya Ni Pamoja Na Kuruhusu Miamala mikubwa Ya Fedha kutoka Njee Ya Nchi.Fwatilia matukio Ya Mauaji(Utekaji) Kenya yale Yanayo Fanya na Alshababu fedha za kufadhili ayo makitu zinatoka njee.
kwa Miamala iyo unayotaka Nchi yetu pia iruhusu.kwa ili mimi naipa Big EKO serikali iendelee kuweka mkazo wa maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Gaidi hahitaji pesa kufanya ugaidi.Anahitaji imani Kali tu ya kidini.Alshaba wengi Wala pesa hawana ila Wana imani Kali za kidini.Kenya wanapakana na Somalia na Wana population kubwa ya wasomali raia wa Kenya Kama hujui Ni Kama sisi tulivyo na wajaluo wengi Tanzania na Kenya inao wengi na wanafahamiana.

Hi sababu ya Kenya Haina mantiki kabisa inaelekea hujui hata ramani ya Kenya ikoje nenda chukua atlas Angalia maeneo.mengi Kenya niya wasomali raia wa kenya Mfano Garisa nk Ni wasomali watupu
 
Wewe ulishawahi kutuma pesa nje ya tanzania ukajua masharti yao? Kama upo uk au urusi jaribu kutuma usa au spain ndo utajua masharti, sio unatuma tanzania tu kisha unajifanya unajua masharti ya nchi nyingine.
Nchi za wenzetu wakali kutuma pesa nje sio kupokea!!! Sababu Ni pesa zao zinatoka kwenda nchi zingine.Kituko Cha Tanzania Ni kuzuia pesa kutoka nje kuingia nchini .Hapo ndipo tunaona vituko.

Nchi pesa za kigeni inazo chache halafu unazuia zisiingie!!!!
 
Hapo sababu Ni kupambana na FEDHA chafu..if pesa yako ninhalali why ushindwe weka picha?

Duh!! Fear of the unknown inaongoza mambo mengi ya nchi hii. Sheria kama hizi huathiri upande unaopokea. Sio upande unaotuma!! Upande unaotuma uko katika nchi nyingi inayosimamiwa na sheria za nchi hiyo.
 
Alexander The Great,

Mkuu nchi gani unatuma tu pesa bila details zako. Vitambulisho mpaka mtaa unaokaa. Msiwaze Siasa tu kila wakati, mtauza Nchi. Sema wangeboresha database na kufanya data za watu Ziwe centralized kupunguza maswali ya kijinga kila Mara unapohitaji huduma za msingi.
Mimi nimeonge in a GENERAL FORM mkuu, week mbili zilizopita kuna nchi zilizuiwa kutuma pesa tanzania mpaka BOT watakapo wapa notice ya kuruhusu (hili limewakwaza wafanya biashara wengi sana).

Sasa hivi account zote za bank zinapitiwa bila sababu na Bank Kuu, kufikia hatua raia wataona/wanaona bora wasiweke hela zao bank na wakae nazo hela majumbani (imeshatoea sana raia kupigiwa simu zisizojulikana kuwauliza kuhusu account zao au kuwaita bank wakahojiwe, mtu anaacha kazi zake kwenda kutoa maelezo halafu anaambiwa aende zake).

Ukitaka kutoa USD 1,000/= tu kwenye account lazima mpaka ukaonane na Bank Manager wa bank yako (huku ni kupangiana matumizi ya hela yako mwenyewe).

# Ukiritimba upo mwingi sana, kufika hatua raia/wafanya biashara hata mikopo hawataki kuchukua, ma bank wanalalamika hakuna watu wa kuchukua mikopo, mzunguko umekufa kabisa.

# Sheria za TRA kila mwaka zinabadilishwa (hakuna mwaka hata mmoja hazijabadilishwa).

# Kodi ni nyingi kuliko nchi nyingine yoyote africa.

# Raia wanaona ni bora kuhifadhi hela nchi ya nchi kukiko tanzania (Kenya, Uganda, South Africa).

Swali; In a long term, haya maswala yatatufikisha wapi kiuchumi??? Tuasiangalie leo na tuangalie miaka ijayo mbeleni (itakua tunatunga sheria za kutuendesha leo, halafu huko mbele zitatushinda na kutudhoofisha).
 
Serikali inaogopa wafadhili wa NGO, na Vyama vya siasa. Waliweka masharti ya yeyote anayetaka kufadhili NGO pesa itumwe kupitia serikali kasha aeleze matumizi ya pesa hiyo na kasha NGO ithibitishe kwa serikali kwamba kweli inakwenda kufanya kazi hiyo. Kwa upande wa vyama vya siasa, Wafadhili wake wote walioko nje walitakiwa pia kutuma pesa kupitia serikali kuu na kueleza malengo ya misaada yao kwa vyama husika.

Huku ni kunogesha makatazo ya kutumiwa pesa kutoka nje ya nchi kwa sababu, wanahisi kuna wafadhili wanoweza kuingiza pesa chafu na kuiyumbisha nchi.

Kwa sasa mwenye pesa ni serikali tu, Mwingine yeyote hatakiwi kuwa na pesa.

Ni ujinga sana yaani hivi vipesa ndivyo kusaidia watu kwenye shule, harusi, Afya pesa za kula nk mara nyingi hizi pesa ni chini ya $100. Vilevile ukizidisha $3000 kwa mwezi tayari kulikuwa na sheria za kutoa habari zako laini kujisumbua kwa $25 wengi hawatatoa habari zao. Tujue kuna Watanzania wengi sana wana matatizo ya uraia wanakoishi au wana shughulikia bado au ni raia kabisa na hawatatoa hizo habari maana wanafikiri watatumia hizi data kuchukua vitu vyao Tanzania.
 
Wamelazimishwa watulazimishe tuweke government ID.

Ndiyo mwanzo wa kudukuliwa huu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani anakuwa na hizo taarifa za government-issued ID? Wave au serikali?

Mbona mimi sijatumia jina langu la ukweli lakini nimeweza kutuma jana [nilikuwa nafanya test run].

Naamini hata wewe unaweza kutumia ‘Kiranga’ kwenye username yako na ukaweza kutuma hela bila tatizo.

Ndiyo, wameongeza hatua ya ku upload ID yako. Lakini Hiyo government issued ID si lazima jina lililopo lilingane na user ID ya akaunti ya Wave.

Hivyo sioni kama hilo ni tatizo kivile.

We show IDs almost everywhere else. So why should it be an issue here?

Siku hizi hata kununua baadhi ya over the counter cold medicine ni lazima uonyeshe ID.

To me it’s no big deal.
 
Umeandika Vizuri.Ila Moja Ya Jambo Linalo wacost Wa Kenya Ni Pamoja Na Kuruhusu Miamala mikubwa Ya Fedha kutoka Njee Ya Nchi.Fwatilia matukio Ya Mauaji(Utekaji) Kenya yale Yanayo Fanya na Alshababu fedha za kufadhili ayo makitu zinatoka njee.
kwa Miamala iyo unayotaka Nchi yetu pia iruhusu.kwa ili mimi naipa Big EKO serikali iendelee kuweka mkazo wa maana

Sent using Jamii Forums mobile app

si kweli pesa nyingi ya wakenya inaenda kwenye maendeleo na ndiyo maana wametuzidi kiuchumi na mazingira mengi ya kibiashara. Hao wasomali majirani kwanini watume pesa kwa mitandao wakati ni nchi jirani?
 
Nani anakuwa na hizo taarifa za government-issued ID? Wave au serikali?

Mbona mimi sijatumia jina langu la ukweli lakini nimeweza kutuma jana [nilikuwa nafanya test run].

Naamini hata wewe unaweza kutumia ‘Kiranga’ kwenye username yako na ukaweza kutuma hela bila tatizo.

Ndiyo, wameongeza hatua ya ku upload ID yako. Lakini Hiyo government issued ID si lazima jina lililopo lilingane na user ID ya akaunti ya Wave.

Hivyo sioni kama hilo ni tatizo kivile.

We show IDs almost everywhere else. So why should it be an issue here?

Siku hizi hata kununua baadhi ya over the counter cold medicine ni lazima uonyeshe ID.

To me it’s no big deal.

Sheria mpya zinakuja ndugu wave sasa wanaomba upya details za watu.
 
Nas alisema "I live tye ckean life, I don't even steal cable".

Sitaki kutia fake ID ili kutuma hela zangu mwenyewe.

Na sitaki kutoa ID yangu kuongeza "attack footprint".

Tutatuma bitcoin tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria mpya zinakuja ndugu wave sasa wanaomba upya details za watu.

Nimetuma tu jana usiku. Hata masaa 8 hayajapita.

Username yangu ya Wave na government issued ID majina ni tofauti.

Na muamala ulifika sekunde hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom