Avriel
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 4,992
- 5,456
Aisee!Hapo sababu Ni kupambana na FEDHA chafu..if pesa yako ninhalali why ushindwe weka picha?
Unaelewa madhara yake lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!Hapo sababu Ni kupambana na FEDHA chafu..if pesa yako ninhalali why ushindwe weka picha?
Leo kidogo unaongea point...This is too much.Ni ku discourage pesa zosiibgie nchini tu. hivi Tanzania hawataki pesa za kigeni? Tunazo nyingi za kutosha au?
Kuna watu hu donate pesa hawataki kujukikana hasa watu wa dini wanaoamimini kuwa utoapo sadaka hata mkono wa kushoto usijue.Kwa hili sikubakiani.Njia Kama za Western Union nk zimewekwa makisudi kusaidia watu Kama hao.
Hili swala la utakatishaji fedha linaenda beyond Sasa linavuruga uchumi.Hao wataalamu walioshauri hivi Ni wauaji wa uchumi kitaalaamu wanaitwa economic Hitmen.Kenya wenzetu pesa unayotakiwa kutolea maelezo hata ukiweka benki Ni kuanzia dola laki tano sawa na shilingi za Tanzania billion mbili .Sisi hapa Kuna upumbavu mkubwa tunakomalia hata vihela vidogo vya Mpesa na Tigo pesa .Kuna wajinga serikalini wanataka kuua uchumi kumkomesha Magufuli kwa kutumia utaalamu wao!
Hili haliko sawa.
Fikiria mtu Ana kakituo ka yatima ka masista katoliki kaomba donation nje ya dola kumi kwa mtoto yatima halafu unampa masharti mtumaji akapige picha Sijui Nini ndio atume hawezi kukubali kupotezewa muda na kuongezeka gharama kijinga hivyo hatumi
Lol this is slavery...good news, nimekua mtumwa wa WU app ambao wana makato makubwa mno ( 104 USD sent ila unapokea TSH. 197,000 ivi )
Watu wa forex na cryptocurrency hawajaadhirika kweli?
Mfano mdogo ni watu wanaotumia paypal... Kuverify account ya paypal ni either uadd bank account au uadd visa au mastercard... Tena ukishaadd wanakata tu hela fulani ambayo utakuja kuikuta kwenye account yako.Wewe ulishawahi kutuma pesa nje ya tanzania ukajua masharti yao? Kama upo uk au urusi jaribu kutuma usa au spain ndo utajua masharti, sio unatuma tanzania tu kisha unajifanya unajua masharti ya nchi nyingine.
Hata mimi nimepata hata masaa mawili bado kuisha,Nimetuma tu jana usiku. Hata masaa 8 hayajapita.
Username yangu ya Wave na government issued ID majina ni tofauti.
Na muamala ulifika sekunde hiyo hiyo.
Hata mimi nimepata hata masaa mawili bado kuisha,
Hahaha Magufuli anasaidia wanyonge, na wewe unataka kushindana naye kuwasaidia wanyonge, atakubali vipi sasa?!Ni ujinga sana yaani hivi vipesa ndivyo kusaidia watu kwenye shule, harusi, Afya pesa za kula nk mara nyingi hizi pesa ni chini ya $100. Vilevile ukizidisha $3000 kwa mwezi tayari kulikuwa na sheria za kutoa habari zako laini kujisumbua kwa $25 wengi hawatatoa habari zao. Tujue kuna Watanzania wengi sana wana matatizo ya uraia wanakoishi au wana shughulikia bado au ni raia kabisa na hawatatoa hizo habari maana wanafikiri watatumia hizi data kuchukua vitu vyao Tanzania.
Shauri yake, wananchi hawampendi anawalazimisha tu.Nanye Go,
Ankali anatawala kwa mkono wa chuma,ni wazi anataka kung'ang'ania madaraka!!
Sheria ni kwa Tanzania kama nimeelewa, sidhani kama ni kwa ajili ya nchi za nje?!Unaishi wapi kwani?
Nchi za nje hawakubaliani na huu upuuzi kwa raia wake hata kama ni mmoja mmoja
Alshababu kumbe wako KenyaUmeandika Vizuri.Ila Moja Ya Jambo Linalo wacost Wa Kenya Ni Pamoja Na Kuruhusu Miamala mikubwa Ya Fedha kutoka Njee Ya Nchi.Fwatilia matukio Ya Mauaji(Utekaji) Kenya yale Yanayo Fanya na Alshababu fedha za kufadhili ayo makitu zinatoka njee.
kwa Miamala iyo unayotaka Nchi yetu pia iruhusu.kwa ili mimi naipa Big EKO serikali iendelee kuweka mkazo wa maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatafuta Kung'olewa kama MUGABE.Shauri yake, wananchi hawampendi anawalazimisha tu.
Anafahamu hakushinda hata huo urais, lakini bado anajitutumua na bado wananchi hawataki.
Sijui anatafuta nini?!
Sikuwai kujua km kuna app unaweza kutuma hela ukiwa nje ya nchi kuja bongo free of charge ngoja niifuatilie hiiNaona ile huduma ya kutuma pesa bila ada yoyote imerudi tena hewani Tanzania.
View attachment 1290314View attachment 1290315View attachment 1290316
Kiranga
Mbona unapanic mkuu? Hv kuna mekezaji gani wa maana anaetumia app kutuma hela ya uwekezaji wake?Kuna majuha yataunga mkono huu ujinga, hayajui taifa linakosa mapato na wawekezaji kwasababu ya sheria za kipuuzi puuzi. Hata mimi situmi hela nikiombwa picha.
Hizi sheria za kipuuzi zinatungwa kwasababu tu ya uchaguzi #2020, kuwabana wapinzani, ila CCM hawafikirii madhara baada ya uchaguzi. Nchi inaongozwa kwa "FIKRA MASIKINI NA ZA KIJUHA".
Sheria za KODI kila mwaka zinabadilishwa, hazipo "STABLE" na hazipo kwaajili ya "LONG TERM", zinatungwa kwaajili ya mwaka husika tu halafu mwaka ujao zinatungwa nyingine tena au zinafanyiwa mabadiliko, hakuna hata mwaka mmoja hazija badilishwa sheria za kodi (atakae nithibitishia mwaka mmoja ambazo sheria za kodi hazija badilishwa nampa zawadi).
Raia akitaka kutoa USD 1,000/=$ lazima mpaka akaonane na "BANK MANAGER". Anapoteza siku yake ya kufanya shughuli zake ili akaonane na manager kwasababu ya USD 1,000/= (millioni 2 na nusu).
Wanatumiwa "MASIKINI" kuwachukiwa "MATAJIRI", wanatumiwa masikini kupumbazwa kwa vitu vichache ambavyo ni "HAKI" zao. Masikini anatumiwa kupumbazwa kwa "MADARAJA, BARABARA, NDEGE" wakati ni haki yao hivo vitu, mtu kachagua kiongozi ili amfanyie hayo yote iweje alazimishwe kupiga makofi na kudanganywa kwa haki zake. Mtu hachagui kiongozi ili akakae tu "MAGOGONI" au "OFISINI" kwenda kunywa chai na kupokea mshahara au kupiga picha na kukenua meno.
Watanzania bado tupo "PRE-COLONIAL ERRA" katika akili zetu, tunaishi kwa mazoea, tunashangalia haki zetu za msingi kwa viongozi, wakati ni "WAJIBU" wao kutufanyia hayo wanayofanya. Tunatakiwa tujifunzi kuangalia tofauti ya "HAKI YA RAIA, NA VITU VYA ZIADA".
Tuache kuangalia "BARABARA, MADARAJA, NDEGE, TRENI, ELIMU", hivo ni haki zetu za msingi. Tuangalie "AJIRA, MZUNGUKO WA HELA, UHITAJI WA KILIMO, KODI" ambavyo ni akili ya ziada na uwezo wa viongozi wetu.
#Itafika hatua nchi hii hata ukitaka kujamba basi lazima upige picha ya kitambulisho chako. Au akitaka kutoa hela ya kwenda kumnunulia mtoto baiskeli lazima akaonane na bank manager).
Hivi mkurupukaji hapa ni mimi au ni wewe? Unataka watu wawe wanatuma pesa kuja Tanzania kiholela, eti unaogopa nchi za dunia ya kwanza watatushangaa! Mi nakwambia hivi, hata hizo nchi unazoziita za dunia ya kwanza hawawezi kuruhusu pesa toka nchi za kigeni kuingia nchi mwao kiholela. Kama unataka kuhakikisha jaribu kutuma pesa kiholela kwenda USA uone kama hawatataka kujua wewe ni nani.Sijui unabisha nini?!
Kutuma pesa kutoka nje sio kutuma kutoka Tz
Naongelea walioko nje wanatuma Tz
Umekurupuka kujibu
Mnajfanya mnajua kila kitu
Siku nyingine tuliza akili
Maneno mengi lakini porojo tupu.Wewe naona unaishi dunia ya kwako ya kizamani unadhani kila mtu lazima ajaze mikatatasi midole gumba misahihi akitaka kutuma hela
Mfano PayPal ukiuza kitu online mtu akinunua kitu Chako mtandaoni pesa inaingia straight kwenye Simu yako ya kiganjani nenda uone Kenya tu happy.Sasa Mfano unauza wimbo wako online ulioweka unataka kila mnunuzi Chukulia tunmgano hata upo Tanzania unauzia mtanzania mwenzio hapa hapa kuwa akinunua wimbo wako kukutumia pesa lazima aambatanishe picha yake,maelezo ya kitambulisho Cha taifavanapokaa no.Hivi Nani atanunua wimbo wako? Sembuse mtu wa nje? Mtu wa nje ukimpa hiyo misharti ya kutuma pesa hatumi anakuacha kaa na ujinga wako kuwa huwezi nipoyezea muda na kunifanya nianike taarifa zangu hadharani.Picha yangu ikiienda tumika vibaya na details zangu itakuwaje
Acha ujinga wewe . Hizo pesa chafu zipi wanaodhibiti vilaza nyie .
Pesa chafu my ass
Damn it ! you niggas are mentally sick
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo sasa mada imeletwa kiustarabu nyie mnaanza kutukananaKumbafuuy sana viongozi africa hamna tuna watawala kuna tofaut kubwa kati ya kiongoz na mtawala
Sent using Jamii Forums mobile app