Sheria mpya za kutuma pesa kutoka nje zitapunguza mapato

Leo kidogo unaongea point...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ulishawahi kutuma pesa nje ya tanzania ukajua masharti yao? Kama upo uk au urusi jaribu kutuma usa au spain ndo utajua masharti, sio unatuma tanzania tu kisha unajifanya unajua masharti ya nchi nyingine.
Mfano mdogo ni watu wanaotumia paypal... Kuverify account ya paypal ni either uadd bank account au uadd visa au mastercard... Tena ukishaadd wanakata tu hela fulani ambayo utakuja kuikuta kwenye account yako.

Hamnaga habari za eti wewe unakaa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetuma tu jana usiku. Hata masaa 8 hayajapita.

Username yangu ya Wave na government issued ID majina ni tofauti.

Na muamala ulifika sekunde hiyo hiyo.
Hata mimi nimepata hata masaa mawili bado kuisha,
 
Hata mimi nimepata hata masaa mawili bado kuisha,

Hofu yao ni ya bure tu.

Kama unamtumia mtu vijisenti halali sioni kabisa tatizo.

Kuna sehemu huwezi kununua pombe bila kuonyesha ID.

Huwezi nunua sigara bila kuonyesha ID.

Huwezi kupiga kura au kujiandikisha kupiga kura bila kuonyesha ID.

Suala la kuonyesha ID ni standard kwenye mambo mengi.

Na kama we si mhalifu, huna lengo baya la kufanya uhalifu, hofu ya nini?
 
Kwani ni mabadiliko yapi ya sheria, sera au kanuni yaliyofanyika hivi karibuni kupelekea hilo?
 
Hahaha Magufuli anasaidia wanyonge, na wewe unataka kushindana naye kuwasaidia wanyonge, atakubali vipi sasa?!
Wanyonge mali yake na wanapaswa kumuabudu, wewe usitume pesa ili yeye aabudiwe.
 
Unaishi wapi kwani?
Nchi za nje hawakubaliani na huu upuuzi kwa raia wake hata kama ni mmoja mmoja
Sheria ni kwa Tanzania kama nimeelewa, sidhani kama ni kwa ajili ya nchi za nje?!
Wasipokubali watafanyaje, watawazuia raia wao kutuma pesa Tanzania?!
 
Alshababu kumbe wako Kenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo acheni uoga hahaha


Sisi kwenye forex huwa tunaombwa Bank Statement, ID zote, Unajipiga picha selfie , na muda mwingine unaweka Affidavit au Proof of Evidence ...



Na huo Ni mtiririko wa dunia nzima...



Sasa nikirudi hapa nyumbani sijajua sababu Ni zipi .... Ngoja nifuatilie nijue sababu kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unapanic mkuu? Hv kuna mekezaji gani wa maana anaetumia app kutuma hela ya uwekezaji wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui unabisha nini?!
Kutuma pesa kutoka nje sio kutuma kutoka Tz
Naongelea walioko nje wanatuma Tz
Umekurupuka kujibu
Mnajfanya mnajua kila kitu
Siku nyingine tuliza akili
Hivi mkurupukaji hapa ni mimi au ni wewe? Unataka watu wawe wanatuma pesa kuja Tanzania kiholela, eti unaogopa nchi za dunia ya kwanza watatushangaa! Mi nakwambia hivi, hata hizo nchi unazoziita za dunia ya kwanza hawawezi kuruhusu pesa toka nchi za kigeni kuingia nchi mwao kiholela. Kama unataka kuhakikisha jaribu kutuma pesa kiholela kwenda USA uone kama hawatataka kujua wewe ni nani.
Tunapojadili maswala ya msingi kama haya jaribuni kuweka pembeni mihemuko yenu ya kisiasa, labda mtaweza kuleta hoja zinazojadilika badala ya pumba hizi za kila siku.
 
Maneno mengi lakini porojo tupu.
Unaponunua wimbo kwa kutumia PayPal unadhani hiyo akaunti ya PayPal hawajui ni ya nani?
Unapotumiwa au kutuma pesa kwenye simu unadhani hiyo simu hawajui ni ya nani?
Unaponunua kitu online kwa kutumia credit cards unadhani hawajui hizo card ni za nani?
Mkuu, changanya na zako.
 
Mwendawazimu usiejielewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga wewe . Hizo pesa chafu zipi wanaodhibiti vilaza nyie .
Pesa chafu my ass

Damn it ! you niggas are mentally sick

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbafuuy sana viongozi africa hamna tuna watawala kuna tofaut kubwa kati ya kiongoz na mtawala

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooo sasa mada imeletwa kiustarabu nyie mnaanza kutukanana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…