Jugado
JF-Expert Member
- Oct 28, 2021
- 1,446
- 3,184
Hivi imagine Kila kitu kinafanana kasoro nembo huoni Kwa tz inaweza kutumika kutapeli au kuonea watu...huko vijijini raia wanajua kweli mambo ya nembo?Hakuna anayekomalia. Tunachosema hakuna uhalali Wala sababu ya jeshi kuacha majukumu yake ya msingi na kuanza kugombana na raia eti kisa wamevaa mavazi yanayofanana na sare zao. Ni ujuha.
Mavazi ya jeshi yana nembo. Raia akivaa sare za jeshi (vazi lenye nembo ya jeshi ) hapo akikamatwa Sina nongwa. Lkn akivaa vazi halina nembo ya jeshi, ikn linafanana rangi na kila kitu cha jeshi, hilo siyo mali ya jeshi. Ni ujinga.