Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"
Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi? Mwanajeshi ajitofautishe kwa umahiri wa kung'amua na kuzima nia na jaribio la adui kutaka kuivamia nchi yetu. Baasi! Siyo hizi blah blah za kuwalingishia raia gwanda za jeshi.
Kule nchi za watu mpk walevi na mateja wanavaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya nchi zao. Mbona hatujasikia wakipata shida ya kiusalama?
Tuachane na ushamba huu. Nakumbuka hata bendera ya taifa kabla ya Kikwete kuwa rais ilikuwa ni marufuku kukutwa hata na leso inayofanana na bendera yetu ya taifa. Mhe. Kikwete akaondoa ushamba huu.
Ni wakati wa kuondoa ushamba wa kuzuia raia mavazi yanayofanana na sare
Kila nchi inaongozwa kwa utaratibu huwezi kuamka tu huko Umeshiba maharage unafikira kuvaa Combart za jeshi Watu wametoa machozi,jasho na damu kuzipata hizo.
Licha ya hivyo Tukumbuke kuwa kila mtu akianza kujiamria kutumia Mavazi ya Jeshi au taasisi yoyote kwa kuamua tu sidhani kama itakuwa sahihi.
Na hakuna nchi ambayo mtu anaamua tu kuvaa combart its Either ni msanii ama mwanamziki ambao kwa sheria hiyo hiyo ya Penal code 178 imeruhusu mtu yyte kutumia ila kwa kibali maalum cha kuzitumia kwa shughuli za kisanii
View attachment 2734897
Kama hawajakuelewa basi wanamatatizo kwny vichwa vyao