mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kabisa!Lakini kwanini wavae. Hebu fikiria mtu kavaa full uniform kama mjeda au polisi huoni Kwa nchi kama yetu anaweza tumia huo mwanya kutapeli/kunyanyasa watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa!Lakini kwanini wavae. Hebu fikiria mtu kavaa full uniform kama mjeda au polisi huoni Kwa nchi kama yetu anaweza tumia huo mwanya kutapeli/kunyanyasa watu?
Mkuu me Nazungumzia Sheria inavyosema...Sio mtu yoyote anaruhusiwa ila Anaruhussiwa tu yule anayeperfom au kuonyesha shughuli ya Sanaa.....Hapana sio wasanii au uvaaji wowote unaohitaji kibali.
Bali ni ruksa kwa mtu yeyote as long as hatumii mavazi hayo ku pretend kama ni ex soldier au namna nyingine ambayo ni illegal
Hiki ulichokiandika ni sheria ya zamani kabisa mwaka 2005 ambayo ilikuwa abolished 2013 na Congres.Mkuu me Nazungumzia Sheria inavyosema...Sio mtu yoyote anaruhusiwa ila Anaruhussiwa tu yule anayeperfom au kuonyesha shughuli ya Sanaa.....
Soma Penal Code (Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai) Kifungu cha 178 tolea lenye marekebisho ya mwaka 2022...
178.-(1) Any person who, not being a person serving in the Defence Forces of the United Republic or in any police force or any law enforcement organ established by law, wears without the permission of the President the uniform of any of those forces or any attire having the appearance or bearing any of the regimental or other distinctive marks of such uniform or attire is guilty of an offence and liable to imprisonment for one month or to a fine of fifty thousand shillings:
Provided that, nothing in this section shall prevent any person from wearing any uniform or attire in the course of a stage play performed in any place in which stage plays may lawfully be publicly performed, or in the course of a music hall or circus performance, or in the course of any bona fide military representation......
Mkuu nafikiri sasa umenielewa Kwa kukuwekea Kifungu hicho chenye katazo na chenye Ruhusa si kwa watu wote ila kwa watu wanafanya Sanaa
Ni kweli usemayo lakini kwa Tanzania watu wanayatumia vibaya hayo mavazi, siyo kwa uzalendo wala fashion.
Ni sawa tu yapigwe marufuku, mpaka tufikie wakati wetu wa utayari.
Tembea uone acha kuongopea umma nchi zipo nyingi ambazo hazifuatilii upumbavu wenu huo..peleka huko ka V kakoKila nchi inaongozwa kwa utaratibu huwezi kuamka tu huko Umeshiba maharage unafikira kuvaa Combart za jeshi Watu wametoa machozi,jasho na damu kuzipata hizo.
Licha ya hivyo Tukumbuke kuwa kila mtu akianza kujiamria kutumia Mavazi ya Jeshi au taasisi yoyote kwa kuamua tu sidhani kama itakuwa sahihi.
Na hakuna nchi ambayo mtu anaamua tu kuvaa combart its Either ni msanii ama mwanamziki ambao kwa sheria hiyo hiyo ya Penal code 178 imeruhusu mtu yyte kutumia ila kwa kibali maalum cha kuzitumia kwa shughuli za kisanii
View attachment 2734897
Vipi mtu akivaa mavazi ya madaktari.
Mkuu Ngoja kwanza! Hold on a sec !Hiki ulichokiandika ni sheria ya zamani kabisa mwaka 2005 ambayo ilikuwa abolished 2013 na Congres.
Na ukumbuke sare hizo zilizokuwa zinakatazwa ni sare za jeshi la US sio sare za majeshi mengine.
Stolen Valor act 2013 iliruhusu uvaaji wa sare za jeshi kwa raia iwapo tu mvaaji hatotumia sare hizo kufanyia udanganyifu.
Wengine wauza nyama buchaniHata mavazi ya madaktari yana nembo. Siyo kila koti jeupe ni la daktari. Mpk liwe na nembo ya afya
Kwani hao wezi kwenye ripoti ya CAG wanavaa sare za jeshi? Mnaacha uhalifu wa maana, mnahangaika na mambo madogo madogo ya mavazi.Mleta uzi umeandika ujinga mtupu. Kama una hamu ya kuvaa mavazi ya jeshi fanya namna ujiunge nalo na sio kulazimisha kuvaa sare zao zinazoweza kutumika vibaya na watu kufanyia uhalifu. Watu imefikia hatua wanashona kaunda suti na kujifanya wanausalama. TII SHERIA BILA SHURUTI AU HAMA NCHI.
Ni sheria namba ngapi ya mwaka gani na sisi wengine tuisome...Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi? Mwanajeshi ajitofautishe kwa umahiri wa kung'amua na kuzima nia na jaribio la adui kutaka kuivamia nchi yetu. Baasi! Siyo hizi blah blah za kuwalingishia raia gwanda za jeshi.
Kule nchi za watu mpk walevi na mateja wanavaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya nchi zao. Mbona hatujasikia wakipata shida ya kiusalama?
Tuachane na ushamba huu. Nakumbuka hata bendera ya taifa kabla ya Kikwete kuwa rais ilikuwa ni marufuku kukutwa hata na leso inayofanana na bendera yetu ya taifa. Mhe. Kikwete akaondoa ushamba huu.
Ni wakati wa kuondoa ushamba wa kuzuia raia mavazi yanayofanana na sare za kijeshi sasa.
Asante mbona sheria haisemi inavyodaiwa kusemaKila nchi inaongozwa kwa utaratibu huwezi kuamka tu huko Umeshiba maharage unafikira kuvaa Combart za jeshi Watu wametoa machozi,jasho na damu kuzipata hizo.
Licha ya hivyo Tukumbuke kuwa kila mtu akianza kujiamria kutumia Mavazi ya Jeshi au taasisi yoyote kwa kuamua tu sidhani kama itakuwa sahihi.
Na hakuna nchi ambayo mtu anaamua tu kuvaa combart its Either ni msanii ama mwanamziki ambao kwa sheria hiyo hiyo ya Penal code 178 imeruhusu mtu yyte kutumia ila kwa kibali maalum cha kuzitumia kwa shughuli za kisanii
View attachment 2734897
Acha dharau wewe kenge unalifikilia jeshi kwa mihemko yako na wivu zako kujifanya unajua kumbe tahira mmoja hivi. Hujui kila taifa lina muundo na taratibu zake za maisha na maamuzi. Kwetu watu walionekana kutumia sare za jeshi kutapeli watu then unakurupuka na ujinga wako. Ulienda shule kujifunza ujinga unashindwa kung'amua cultural diversities beyond the global world unataka kufananisha tz na marekani ww mjinga nini. Siku nyingine usilete ujuaji dhidi ya jeshi la medani.Akili za kindezi hizi. Jeshi linaheahimiwa kwa mavazi?? Jeshi linaheahimiwa kwa mbinu za kivita na weledi wake. Siyo kuvunjia tofali kichwani na kulingishia raia mavazi
Mbona kwenye mitumba zimo mpaka kalamu na pochi, hizi nazo tuwapelekee kambini kwao! Mwanangu anakigari cha kuchezea chenye rangi za jeshi itabidi nimwambie akipeleke yeye mwenyewe jeshini, mimi naogopa kukamatwa.Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi? Mwanajeshi ajitofautishe kwa umahiri wa kung'amua na kuzima nia na jaribio la adui kutaka kuivamia nchi yetu. Baasi! Siyo hizi blah blah za kuwalingishia raia gwanda za jeshi.
Kule nchi za watu mpk walevi na mateja wanavaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya nchi zao. Mbona hatujasikia wakipata shida ya kiusalama?
Tuachane na ushamba huu. Nakumbuka hata bendera ya taifa kabla ya Kikwete kuwa rais ilikuwa ni marufuku kukutwa hata na leso inayofanana na bendera yetu ya taifa. Mhe. Kikwete akaondoa ushamba huu.
Ni wakati wa kuondoa ushamba wa kuzuia raia mavazi yanayofanana na sare za kijeshi sasa.
wakienda makakamani hakuna kesi..Sheria za kikoloni hizi, mtu akikamatwa na sare zinazofanana na hizo sare afikishwe mahakamani na sio kupigwa na kuteswa.
Mbona wapo wanaotumia sare za shule kufanya uhalifu, hata za mapadri pia zinatumika, kwani askari hawafanyi uhalifu!Acha dharau wewe kenge unalifikilia jeshi kwa mihemko yako na wivu zako kujifanya unajua kumbe tahira mmoja hivi. Hujui kila taifa lina muundo na taratibu zake za maisha na maamuzi. Kwetu watu walionekana kutumia sare za jeshi kutapeli watu then unakurupuka na ujinga wako. Ulienda shule kujifunza ujinga unashindwa kung'amua cultural diversities beyond the global world unataka kufananisha tz na marekani ww mjinga nini. Siku nyingine usilete ujuaji dhidi ya jeshi la medani.