NkumbiSon
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 2,483
- 3,492
Sare zinazofananana na majaeshi ujue hadi shati jeupe limo.Sijasema wapige raia ila naona sio sawa raia kuvaa sare zinazofanana na majeshi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sare zinazofananana na majaeshi ujue hadi shati jeupe limo.Sijasema wapige raia ila naona sio sawa raia kuvaa sare zinazofanana na majeshi.
Sare za jeshi hayutakiwi kuzivaa sisi raia ila sio nguo zinazofanana na sare zao.. huo mi Ujuha.Wapo sahihi. Kwa nini watu wasivae sare za marehemu, sare za wafungwa na wakimbilie za watu wenye mafunzo hatari ya kijeshi?
Kwahiyo kwa sasa raia hawata tapeliwa tukiacha kuvaa sare za jeshi.... wewe binafsi mara ya mwisho kusikia mtu katapeliwa na mtu aliyevaa kijeshi lini?Hivi imagine Kila kitu kinafanana kasoro nembo huoni Kwa tz inaweza kutumika kutapeli au kuonea watu...huko vijijini raia wanajua kweli mambo ya nembo?
Acha kuuliza swali la kitoto jeshi ni chombo chenye mamlaka ya ulinzi wa nchi taswira yake ikichafuka watu watakosa imani ukizingatia wananchi wengi hawajui mambo ya nembo wala nn. Baadhi ya watu wanakuwa disguised kujifanya wanajeshi angali sio hivyo kufanya ujinga wao ukiona hivyo jeshi limefanya tafiti halijakulupuka.Mbona wapo wanaotumia sare za shule kufanya uhalifu, hata za mapadri pia zinatumika, kwani askari hawafanyi uhalifu!
Basi vaaHakuna shida tofauti iwe ni nembo tu.
Marekani na Tz ni nchi mbili tofauti,acheni utotoHata Marekani kuna wafuasi wa Trump walikuwa wamevaa mavazi mfano wa jeshi walipovamia bunge January 6, 2021 wakitaka Bunge na Mike Pence wasithibitishe matokeo ya Urais wa Joe Biden.
Unaongea kwa kiburi sababu nchi ipo salama sababu ya ulinzi imara wa jeshi,km ingekuwa legelege mambo ya kibiti yangekuwa mabaya zaidi ya Msumbiji,ebu acheni mambo ya kitotoAkili za kindezi hizi. Jeshi linaheahimiwa kwa mavazi?? Jeshi linaheahimiwa kwa mbinu za kivita na weledi wake. Siyo kuvunjia tofali kichwani na kulingishia raia mavazi
Basi Wakulaumiwa ni Tiss km tunaporwa rasilimaliWashamba sana JWTZ yaani wapo busy kuhangaika na mavazi wanaacha kudeal na mikataba mibovu inayouza nchi yetu.
Lisalimishe tu ndugu yanguItakuwaje kuhusu hii gauni yangu[emoji19][emoji1787]?
Lab coat za wauza nyama nayo ni sare?, ile ni koti , hamna sare paleMbona wauza Nyama wanavaa?
Kuna mambo mengi ya msingi yanayoathiri moja kwa moja ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla ambayo wananchi wanatakiwa kuelimishwa. Katika orodha suala hilo unalolitaka laweza kuwa la mwisho kabisaKumbe tungejikita kuwaelimisha watu. Nguo za migambo waliotapakaa nchi nzima kila mtaa zinafanana na sare za polisi mbona haziongelewi?
Wanaotapeli kwa kofia ya kujifanya maafisa usalama wanatapeli mpk ofisini za serikali huko. Kwann hawaongelewi?
Kuna ka ujinga fulani ka wanajeshi kutaka kujiona wako tofauti kwa mavazi peke yake badala ya maarifa.
Badala yakupiga watu mkwara kwanini wasiseme kuhusu hizo uniform zao zilivyo?Sijasema wapige raia ila naona sio sawa raia kuvaa sare zinazofanana na majeshi.
Bucha man wanavaa kama madaktariHata mavazi ya madaktari yana nembo. Siyo kila koti jeupe ni la daktari. Mpk liwe na nembo ya afya
Tena kwa nn wasivae za askari magereza wanata tu za jeshi?Lakini kwanini wavae. Hebu fikiria mtu kavaa full uniform kama mjeda au polisi huoni Kwa nchi kama yetu anaweza tumia huo mwanya kutapeli/kunyanyasa watu?
Ni sababu za kiusalama...lakini pia ukumbe lile ni vazi rasmi, na linapaswa kuvaliwa na mtu rasmi.Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi? Mwanajeshi ajitofautishe kwa umahiri wa kung'amua na kuzima nia na jaribio la adui kutaka kuivamia nchi yetu. Baasi! Siyo hizi blah blah za kuwalingishia raia gwanda za jeshi.
Kule nchi za watu mpk walevi na mateja wanavaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya nchi zao. Mbona hatujasikia wakipata shida ya kiusalama?
Tuachane na ushamba huu. Nakumbuka hata bendera ya taifa kabla ya Kikwete kuwa rais ilikuwa ni marufuku kukutwa hata na leso inayofanana na bendera yetu ya taifa. Mhe. Kikwete akaondoa ushamba huu.
Ni wakati wa kuondoa ushamba wa kuzuia raia mavazi yanayofanana na sare za kijeshi sasa.
Mi zamani nilikua najua wauza nyama buchani wote ni ma Dr!![emoji1][emoji3]Hata mavazi ya madaktari yana nembo. Siyo kila koti jeupe ni la daktari. Mpk liwe na nembo ya afya