- Thread starter
- #161
Jeshi la Nguo Tanzania (JNT)Ndio maana wana vitambi tu. Vita hakuna.View attachment 2734936
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeshi la Nguo Tanzania (JNT)Ndio maana wana vitambi tu. Vita hakuna.View attachment 2734936
Matope wamejipka wenyewe kwa kuhagaika na vitu vya kitoto kama mavazi. Bas libadili jina lijulikane kama Jeshi la Nguo TanzaniaIshu no Jeshi kupakwa matope kwa matukio y ajabu.
Kwahiyo mwenye camouflage anapaswa kufanya matukio? Hoja za uchoko kabisa hizi.Huyu anayesema ni ushamba hsikosi ni jambazi hutumia camouflages wakati wa matukio. Anadai eti enzi "hizi", enzi zipi? Riffraff!
Ondoeni ushamba na ujinga huo kwa raia kwa kuwapatia elimuAnaongea bila kufikiri huyo ,anaweza akavaa tu mtu t-shirt kama y bakabaka yuko kweny Gari akasimamishwa n traffic asisimame, hapa mtakuja kusema mjeda kakataa kusimama.
Mkuu una ushauri mzuri tu ila umeuleta kusiko huku. Unaonaje ukatinga makao makuu yao ukatoa maoni yako huko. Naamini watakushuru sana!Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi? Mwanajeshi ajitofautishe kwa umahiri wa kung'amua na kuzima nia na jaribio la adui kutaka kuivamia nchi yetu. Baasi! Siyo hizi blah blah za kuwalingishia raia gwanda za jeshi.
Kule nchi za watu mpk walevi na mateja wanavaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya nchi zao. Mbona hatujasikia wakipata shida ya kiusalama?
Tuachane na ushamba huu. Nakumbuka hata bendera ya taifa kabla ya Kikwete kuwa rais ilikuwa ni marufuku kukutwa hata na leso inayofanana na bendera yetu ya taifa. Mhe. Kikwete akaondoa ushamba huu.
Ni wakati wa kuondoa ushamba wa kuzuia raia mavazi yanayofanana na sare za kijeshi sasa.
Safi sana mkuu 👏👏👏Kwann avae,mbona awavai ya mavazi ya mapadre au masister,au wafungwa.
Wanapoyatumia vibaya jeshi linakuwa wapi wakati huo?lakini kwa Tanzania watu wanayatumia vibaya hayo mavazi, siyo kwa uzalendo wala fashion.
Sisi bado tunahitaji maji safi na salama pia tunahitaji umeme wa uhakika na mengineyo kibao !Mkuu me Nazungumzia Sheria inavyosema...Sio mtu yoyote anaruhusiwa ila Anaruhussiwa tu yule anayeperfom au kuonyesha shughuli ya Sanaa.....
Soma Penal Code (Sheria ya mwenendo wa makosa ya Jinai) Kifungu cha 178 tolea lenye marekebisho ya mwaka 2022...
178.-(1) Any person who, not being a person serving in the Defence Forces of the United Republic or in any police force or any law enforcement organ established by law, wears without the permission of the President the uniform of any of those forces or any attire having the appearance or bearing any of the regimental or other distinctive marks of such uniform or attire is guilty of an offence and liable to imprisonment for one month or to a fine of fifty thousand shillings:
Provided that, nothing in this section shall prevent any person from wearing any uniform or attire in the course of a stage play performed in any place in which stage plays may lawfully be publicly performed, or in the course of a music hall or circus performance, or in the course of any bona fide military representation......
Mkuu nafikiri sasa umenielewa Kwa kukuwekea Kifungu hicho chenye katazo na chenye Ruhusa si kwa watu wote ila kwa watu wanafanya Sanaa
Majeshi yako Gabon , Liberia, Niger, Burkina Faso na Mali. Huku kwingne wapo mafashenista wanaolinda brand ya nguo zaoWanashindwa kuzuia DP World wasitwae mipaka ya bandarini, wao wako busy na petty issues.
Jeshi ambalo haliwezi kutengeneza gobole lake lenyewe linang'ang'ania vitu vidogovidogo. Eti sare za jeshi!.
Yaani katika mambo yooote ya msingi, Wananchi wanaonewa huko ngorongoro, bandari zinauzwa, wananchi wanauawa na TANAPA na kutupwa ziwani. Wao wanaona sare za jeshi ndo big issue?.
Tuombee Kagame asitest vitu hapo mpakani, lakini kama ndiyo hivi sijui kama tutatoboa. Asubuhi na mapema atakunywa chai Kahama, Lunch singida mjini!
Watu wanapanga na mpaka wantekeleza halifu muda wote huo jshi linakuwa liko wapi?na sio kulazimisha kuvaa sare zao zinazoweza kutumika vibaya na watu kufanyia uhalifu.
Acha bangi basi. Jadili mada.acha ushamba ww,, unavaaje nguo zajesh ww? ili iweje,, watu wamesota mafunzo mda mrefu vichapo na mambo magum sana halaf ww unakuja kuvaa kizembezembe tu,, hata hufukiliii hata kuleta huu uz hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo mkuu mavazi yote yameisha Hadi upende mavazi ya jeshi.Watu wanatumia mavazi ya jeshi kwenye ujambazi,utapeli hilo hujaniona.Pia ile ni identity mkuuNimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi? Mwanajeshi ajitofautishe kwa umahiri wa kung'amua na kuzima nia na jaribio la adui kutaka kuivamia nchi yetu. Baasi! Siyo hizi blah blah za kuwalingishia raia gwanda za jeshi.
Kule nchi za watu mpk walevi na mateja wanavaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya nchi zao. Mbona hatujasikia wakipata shida ya kiusalama?
Tuachane na ushamba huu. Nakumbuka hata bendera ya taifa kabla ya Kikwete kuwa rais ilikuwa ni marufuku kukutwa hata na leso inayofanana na bendera yetu ya taifa. Mhe. Kikwete akaondoa ushamba huu.
Ni wakati wa kuondoa ushamba wa kuzuia raia mavazi yanayofanana na sare za kijeshi sasa.
Unataka tuwapende hawa wenye vitambi wanaojipwmbambanua kw mavazi na siyo mafunzo? Ukiona mjeda anatumia nguvu sana kugombana na raia wake kuhusu mavazi ujue hajaiva ktk mafunzoet marekan!!unawaabudu sana hao wajinga wenzio,, kaish huko bas,, usitulinganishe ss na sheria za hao pimbi,,, ko wao ndo wanamafunzo makal sana kutuzid ss?? wabongo na vtu vya ugaibun bana, changamoto,, jitahid hata na ww uoende vya kwen maana ndipo ulipo kulia mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari yake nn? Inamaana jeshi linnategemea rangi ya nguo ktkkfanya kazi zake. Basi ujue Lina mafunzo ya hovyo hovyo kabisa. Ndiyo maana Wana vitambiHujui umuhimu wa hilo kaa kimya, ni hatari
Acha kunililia. Mimi sio CDF.Watu wanapanga na mpaka wantekeleza halifu muda wote huo jshi linakuwa liko wapi?
Mpk ujambazi unapangwa na kufanyika jeshi linakuwa limeenda wapi? Kazi ya jeshi ni kuzuia uhalifu siyo kupambana na mtukio ya uhalifuKwa hiyo mkuu mavazi yote yameisha Hadi upende mavazi ya jeshi.Watu wanatumia mavazi ya jeshi kwenye ujambazi,utapeli hilo hujaniona.Pia ile ni identity mkuu