jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Ila hili katazo ukiliangalia kwa jicho la tatu ni Kama kuna Vita ya kubishara,kuna mfanyabiashara Kesha lipia kontena lake kutoka China lenye vifaa na nguo za mabakabaka,Sasa sijui Mzigo wake ataauzia wapi tena!!??Mbona kwenye mitumba zimo mpaka kalamu na pochi, hizi nazo tuwapelekee kambini kwao! Mwanangu anakigari cha kuchezea chenye rangi za jeshi itabidi nimwambie akipeleke yeye mwenyewe jeshini, mimi naogopa kukamatwa.