Akivaa kama mwanajeshi anakuwa mwanajeshi? Wanaovaa kanzu wote ni mashehe maana kanzu ni vazi la ibada.Sioni mantiki ya raia kukomalia kuvaa kama wanajeshi!
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akivaa kama mwanajeshi anakuwa mwanajeshi? Wanaovaa kanzu wote ni mashehe maana kanzu ni vazi la ibada.Sioni mantiki ya raia kukomalia kuvaa kama wanajeshi!
Mbona wengi wanazo siraha za bunduki, inamaana hizo si hatari kama mavazi!Ishu sio kuogopwa. Je watu wakianza kuvaa kwa wingi itakuaje?
Wewe naye! Nani kakuambia kuwa kanzu ni vazi la ibada, sehemu zenye joto watu huvaa kanzu na waarabu wanavaa kanzu bila kujali dini maana mapadri pia wanavaa kanzu.Akivaa kama mwanajeshi anakuwa mwanajeshi? Wanaovaa kanzu wote ni mashehe maana kanzu ni vazi la ibada.
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nilitaka uje hivo. Sasa nikivaa hizo nguo za rangi ya jeshi kama siyo mwanajeshi nakuwa mwanajeshi?Wewe naye! Nani kakuambia kuwa kanzu ni vazi la ibada, sehemu zenye joto watu huvaa kanzu na waarabu wanavaa kanzu bila kujali dini maana mapadri pia wanavaa kanzu.
Tatizo lako shule haipo hapo, wapi nimeuliza swali! Kama unajua elimu yako haikidhi kuwemo kwenye JF of GT's nyamaza, kaa kimya.Acha kuuliza swali la kitoto jeshi ni chombo chenye mamlaka ya ulinzi wa nchi taswira yake ikichafuka watu watakosa imani ukizingatia wananchi wengi hawajui mambo ya nembo wala nn. Baadhi ya watu wanakuwa disguised kujifanya wanajeshi angali sio hivyo kufanya ujinga wao ukiona hivyo jeshi limefanya tafiti halijakulupuka.
Wewe kama unaona ni haki yako kuvaa nguo za jeshi vaa kisha pita karibu na kambi yao. Mbona hulilii kuvaa sare za jeshi la zimamoto?Kwani hao wezi kwenye ripoti ya CAG wanavaa sare za jeshi? Mnaacha uhalifu wa maana, mnahangaika na mambo madogo madogo ya mavazi
Wala sitamani kuvaa hizo nguo zenye kushabihiana na jeshi, maana nina nguo za kutosha. Ninachosema hilo jeshi lijihusishe na mambo ya maana, hizo nguo kuvaliwa na raia linaweza kushughulikiwa na polisi.
Nguo si jeshi, jeshi ni ujuzi anaoupata mtu baada ya kupata mafunzo ya kijeshi.Nilitaka uje hivo. Sasa nikivaa hizo nguo za rangi ya jeshi kama siyo mwanajeshi nakuwa mwanajeshi?
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Sasa hawa wanajeshi wanaogopa raia kuvaa mavazi yenye rangi ya sare zao mbona kama hawajiamini? Siku alshabab wakavaa jeans [emoji158] basi tujiandae kumalizwa maana adui anatambulika kwa kuvaa sareNguo si jeshi, jeshi ni ujuzi anaoupata mtu baada ya kupata mafunzo ya kijeshi.
Watoto wadogo mwisho miaka 5 nadhani haina madhara lakini kwa wakubwa Big No !!Ukiwa na vijana (boys) vema kuwazoesha kuvaa mavazi ya kijeshi ili wakue wakiipenda, na hatimaye waje kujiunga na kutumikia jeshini. Vema kueleza kiagaubaga hizo rangi kisayansi, kikemekali, kidesign, texture, density, reflection, strength zikoje. Huko mahakamani ya haki itakuwaje?
Hawajiamini kabisa. Lkn wanastahili kutojiamini. Si uliona Hamza alivyowapurula polisi? Yaani alikuwa hana bunduki, akawanyang"anya na kuwapurula 9. Sasa unadhani kutakuwa na tofauti sana na hawa wavaa mabaka?Sasa hawa wanajeshi wanaogopa raia kuvaa mavazi yenye rangi ya sare zao mbona kama hawajiamini? Siku alshabab wakavaa jeans [emoji158] basi tujiandae kumalizwa maana adui anatambulika kwa kuvaa sare
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Zipo Nchi niliona bunduki zimetundikwa Sokoni panapo uzwa vitu mbali mbali nikauliza hizi bunduki ni vipi mbona zimetundikwa hapo juu nikajibiwa kuwa zinauzwa !!😅😅😅Bora umesema wewe ni ushamba
Angalia hapa maduka kibao tena ni bisashara za watu binafsi na wwnauza kila kitu kinachohusiana na jeshi mpaka viatu na mikanda
Hapa mpaka makazini unakuta mtu kavaa sare ya jeshi (suruali)
Mimi navaa voatu na t-shirt sana
Sasa nikija huko naziacha kwa ushamba wenuView attachment 2735338
Kwanza serikali ipunguze bajeti ya kuandaa na kuajiri wanajeshi maana wapo wanokula mishahara minono wanastaafu mpaka wanakufa hawaeleweki wanafanya nini. Wenyewe wanakuambia Wana kazi nyingi ambazo hazionekani wakati usiku wanalala nyumbani na wake zao kama sisi! Kazi kutesa na kunyanyasa raia. Ngoja nipake nyumba yangu rangi ya jeshi waje waichukueZipo Nchi niliona bunduki zimetundikwa Sokoni panapo uzwa vitu mbali mbali nikauliza hizi bunduki ni vipi mbona zimetundikwa hapo juu nikajibiwa kuwa zinauzwa !![emoji28][emoji28][emoji28]
Je unaonaje na hapa kwetu tukawaiga wale jamaa wa huko ??!
Panya Rodi tu na mibisibisi yao tunajificha mvunguni je ikiwa vinginevyo itakuwaje ??!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji120][emoji120]
Sisi huku bongo tuna asili ya kuwaheshimu walinzi wetu kwahiyo akija mtu mbaya amevaa hizo sare na akaniomba nimsaidie labda usafiri au kitu kingine chochote siwezi kumkatalia kama usafiri au nimuazime kitu ni lazima nitampa kwa sababu nitakuwa nimejiaminisha huyu ni mlinzi wetu na hawezi kuwa ni mtu mbaya. !!Kuna uhusiano gani kati ya sare za jeshi na utapeli?? Hii hoja haina kichwa wala miguu.
Ni bora uahirishe huo mpango 😅😅😅🙏🙏Kwanza serikali ipunguze bajeti ya kuandaa na kuajiri wanajeshi maana wapo wanokula mishahara minono wanastaafu mpaka wanakufa hawaeleweki wanafanya nini. Wenyewe wanakuambia Wana kazi nyingi ambazo hazionekani wakati usiku wanalala nyumbani na wake zao kama sisi! Kazi kutesa na kunyanyasa raia. Ngoja nipake nyumba yangu rangi ya jeshi waje waichukue
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nyingine zinapatikana katika mabaro ya mitumba, nyingi tu.Lakini kwanini wavae. Hebu fikiria mtu kavaa full uniform kama mjeda au polisi huoni Kwa nchi kama yetu anaweza tumia huo mwanya kutapeli/kunyanyasa watu?
Watu wanakaza tu shingoWewe kama unaona ni haki yako kuvaa nguo za jeshi vaa kisha pita karibu na kambi yao. Mbona hulilii kuvaa sare za jeshi la zimamoto?
Polisi wakitangaza hivyo watakamata mno, maana suruali zinazovaliwa nyingi zina rangi ya mavazi ya kipolisiNimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;-
"Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje?
Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi? Mwanajeshi ajitofautishe kwa umahiri wa kung'amua na kuzima nia na jaribio la adui kutaka kuivamia nchi yetu. Baasi! Siyo hizi blah blah za kuwalingishia raia gwanda za jeshi.
Kule nchi za watu mpk walevi na mateja wanavaa mavazi yanayofanana na sare za majeshi ya nchi zao. Mbona hatujasikia wakipata shida ya kiusalama?
Tuachane na ushamba huu. Nakumbuka hata bendera ya taifa kabla ya Kikwete kuwa rais ilikuwa ni marufuku kukutwa hata na leso inayofanana na bendera yetu ya taifa. Mhe. Kikwete akaondoa ushamba huu.
Ni wakati wa kuondoa ushamba wa kuzuia raia mavazi yanayofanana na sare za kijeshi sasa.
😄 🤣 tembea uone babaZipo Nchi niliona bunduki zimetundikwa Sokoni panapo uzwa vitu mbali mbali nikauliza hizi bunduki ni vipi mbona zimetundikwa hapo juu nikajibiwa kuwa zinauzwa !!😅😅😅
Je unaonaje na hapa kwetu tukawaiga wale jamaa wa huko ??!
Panya Rodi tu na mibisibisi yao tunajificha mvunguni je ikiwa vinginevyo itakuwaje ??!!
😅😅😅🙏🙏