daniel lufumbula
Senior Member
- Oct 30, 2014
- 106
- 176
acha ushamba ww,, unavaaje nguo zajesh ww? ili iweje,, watu wamesota mafunzo mda mrefu vichapo na mambo magum sana halaf ww unakuja kuvaa kizembezembe tu,, hata hufukiliii hata kuleta huu uz hapaNguo za jeshi zina nembo bosi. Mabaka ya kwenye nguo hayajengi uhalali wa sare za jeshi bali nembo ya jeshi.
Kuzuia utapeli ni kisingizio tu. Mbona kila siku watu wanatapeliwa fedha kwa kutumia simu? TCRA wapo na jeshi lipo lkn hawana wanachofanya? Wanauona utapeli kwenye mavazi tu?
Sent using Jamii Forums mobile app