mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Mimi si mwislamu ila nataka kuwauliza swali ndugu zangu Waislamu
Kinachotakiwa kutendwa kwenye ndoa zao ili ndoa zibaki kuwa na Amani na kudumu ni nini?
Kutenda haki kwa wake hao au kuwatendea Amani?
Lalamiko ambalo huwa linasikika kwa nguvu kutoka kwa wake za Waislamu ni kutokutendewa haki
Yaani mume wao anakuwa na upendeleo na wake zake wengine kulalamika kwa kutokutendewa haki sawa na mwingine, na hicho ndicho hufanya ndoa kuwa na migogoro mikubwa na hata kuombana talaka
Kwa mfano huu huu, ni kweli ndugu zangu hawa wanajisahaulisha kabisa kwamba, Haki ndio hutangulia na ndiyo husababisha Amani?