GreenCity
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 5,796
- 4,497
Sheria nilishakuwekea hapo juu, chungulia hapo kwa uchache:Sheria zip? Mtoto wa nje ya ndoa ni nje ya ndoa haweza kuwa sawa na wale waliozaliwa nje ya ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria nilishakuwekea hapo juu, chungulia hapo kwa uchache:Sheria zip? Mtoto wa nje ya ndoa ni nje ya ndoa haweza kuwa sawa na wale waliozaliwa nje ya ndoa.
Hahahaaa!Thx mpwaa nilitaka kujua mapemaa nimwahiii mzee tuyajenge kabla ayajaaribika
Amekupotosha, Sheria za mirathi zinaangalia ndoa ilifungwa namna gani na sio Kama anavyosema.Thx mpwaa nilitaka kujua mapemaa nimwahiii mzee tuyajenge kabla ayajaaribika
Soma 7(i) , halafu angalia single mothers hata wale watoto wanaozunguka mitaani kuomba omba wana wazazi wao ila hawawatunzi kabisa ...Kwani huoni single mothers hii ni evidence tosha ukizaa bila ya ndoa mtoto atabaki kwa mama . 😀 😀 😀Sheria nilishakuwekea hapo juu, chungulia hapo kwa uchache:
Je ukitangulia wewe?Thx mpwaa nilitaka kujua mapemaa nimwahiii mzee tuyajenge kabla ayajaaribika
I did my part kukuelewesha, mengine tuyaache tutakutana nayo kwa ground!Soma 7(i) , halafu angalia single mothers hata wale watoto wanaozunguka mitaani kuomba omba wana wazazi wao ila hawawatunzi kabisa ...Kwani huoni single mothers hii ni evidence tosha ukizaa bila ya ndoa mtoto atabaki kwa mama . 😀 😀 😀
Mueleweshe wewe sasa!Amekupotosha, Sheria za mirathi zinaangalia ndoa ilifungwa namna gani na sio Kama anavyosema.
Ndoa ina umuhimu .I did my part kukuelewesha, mengine tuyaache tutakutana nayo kwa ground!
Kitabu chao hakizungumzi chochote kuhusu mtoto wa haramu.usisome jarida, soma kitabu chao.
Sheria za kikirsto haziruhusu mtu kuzaa nje ya ndoa, hapo ndipo wanapoanzia kwa lugha nyingine mtoto wa nje ya ndoa hatambuliki.Mueleweshe wewe sasa!
Ushaambiwa swali linahusu mirathi ya kikristo, sasa mwambie mdau ni sheria zipi zinatumika?
Ni wapi katika quran pametajwa mtoto wa kambo au wa nje ya ndoa?kuran imekataza ndugu, na huwezo kuammend kuran. na hutakiwi kwenda kinyume nayo, wewe kama muislam jua watoto wako wa kambo hawana kitu, kama unawapenda andika wosia mapema na wosia wake hata kama watoto wapo 50, usizidishe 1/3 ya mali zako kuwapa kama zawadi ila sio watu wanaostahili urithi toka kwa baba.
Sisi wakristo tunafuata sheria au kanisa za kwenye maandiko hebu weka andiko hapo.Sheria ya kikristo; Mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kurithi mali za baba yake, atahesabiwa kwenye mali za mama yake tu!
Lakini hii sheria inasaidia kupunguza wale michepuko wanaopenda kutega mimba kwa waume wenye pesa
Lakini inaleta shida kwa watoto waliozaliwa nje ya ndoa kuendesha maisha yao wakiwa wadogo baada ya baba kufariki
Ushauri; Mwanaume ukizaa nje ya ndoa mpe mtoto urithi mapema kuepusha matatizo ukifariki.
Mwanzo 21:9-21Sisi wakristo tunafuata sheria au kanisa za kwenye maandiko hebu weka andiko hapo.
Ufahamu wangu, suala la kuridhi hutegemea mtu mwenyewe alichopanga na kuamua juu ya mali zake
Mwanzo 21:9-21
Hatambuliki wapi?Sheria za kikirsto haziruhusu mtu kuzaa nje ya ndoa, hapo ndipo wanapoanzia kwa lugha nyingine mtoto wa nje ya ndoa hatambuliki.