Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

Wanawake wanapewa sana kipaumbele.

Mfano kwenye uhasibu kampuni kubwa duniani yenye tawi hapa Tanzania kama PWC ...kwenye kuajiri wahasibu na Auditors inapendelea wanawake.

Mwanaume na CPA yako wanakukataa.. wanachukua mwanamke.

tazama kila mwaka recruitment ya pwc wanawake ni wengi kuliko wanaume
 

Sheria zilibadilishwa wabadilishe na wakivuna majukumu.
Vijana wakikataa kuoa tutaendelea kuwaunga mkono na tutawahamasisha wasioe
 
Upo sahihi Mkuu, ila kuna watu naamini watakwambia Mwanaume kaumbwa kutoa na Mwanamke kaumbwa kupokea.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue

Hizo ni porojo za Wapuuzi.
Kama ni hivyo sheria ziwekwe sawa kueleza hilo na kulisimamia
 
Tumefikia huku , ni rahisi tu unataka mtoto kuhudumia unaacha kuzalisha, wanaume tusifike huku mambo ya kutafuta usawa, hizi zilikua ni ishu za wakinamama zamani

Huku tumeshafika.
Kila jambo linamatokeo yake.
Ukibadili kitasa lazima ubadili na funguo.
 

Dini zilishafeli miaka 1000 iliyopita.
Zamani dini ilikuwa ni Siasa.
Kwa sasa dini ni biashara tuu haina nguvu yoyote ya utawala iwe kwenye familia au taifa
 
Dini inayo sema hayo hiyo ni dini ya kitapeli kabisa na ni ya kuiogopa kama ukoma.
 
Kwasasa dini haina msaada wowote zaidi ya kufuga wezi
 
Mwanaume kuanza kujilinganisha na mwanamke kwa hali yoyote ile ni uzwazwa.Mwanaume ndiye msingi wa maisha ya familia na jamii kwa ujumla,mwanaume ndiye mtawala wa vyote alivyovianzisha.Sasa mtawala gani unayeogopa kusimamia na kuhudumia vitu anavyovitawala.Mada kama hizi ndizo zinazotengeneza wanaume magoi goi,mario,chawa na wengine wanakua mashoga.Tulushaambiwa tutakula kwa jasho.tuwajibike kwenye nafasi yetu bila kutoa visingizio vitakavyotufanya tuonekane dhaifu.
 

Rais wako ni Mwanamke na anakutawala wewe na ukoo wenu na kabila lenu lote.

Hayo mawazo uliyoyatoa ni Applicable Kwa karne ya 20 kurudi nyuma.
Lakini hakuna mtu wa kàrne hii mwenye mawazo kama yako.

Kwa kifupi, wewe upo kimakosa katika karne hii. Ulipaswa uzaliwe miaka ya 1700 huko
 
Mwanamke akianza kuhudumia familia yani yeye ndiye awe kila kitu basi jua mahusiano kwenye hiyo familia ni ngumu kutoboa mwaka, kwa asilimia kubwa lazima yafe hayo mahusiano.

Kwa nini Yafe?
Na mbona zipo familia Mama anahudumia familia na wanamiaka nenda rudi, wamesomesha watoto mpaka watoto kujitegemea. Hao unazungumziaje?
 
Sheria ya kumhudumia mwanamke ni ya mwaka gani, inaitwaje na inasemaje ??????????
 
Wewe hakuna unalolijuwa, unazidiwa akili hata na wanyama.

Kwenye familia ya Simba jike ndio analisha familia na dume ndio analinda familia.

Wazee wa zamani hawakuwa wanaowa wake wengi kama fasheni au kwa tamaa za ngono, Bali wake wote wanashiriki uzalishaji Mali Shambani.

Niambie ni kijijini gani Wanawake kazi yao ni kupika tu na kukaa Nyumbani na wanaume ndio wanalima?

Wasomi ndio wapumbavu wa kwanza nchini na duniani kwa ujumla walioharibu mfumo wa maisha, na wapumbavu zaidi ni wale majanaume mazima yako bize kushabikia 50 kwa 50 wakati ukimpa Madaraka mwanamke wala hana mpango wa kupendelea wanawake wenzie.

Ni Tanzania ya Mama Samia ndio imefuta bima ya Toto Afya ili mama na mtoto waisome namba vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…