Ndiko tulikofika? All Assad na Gadaf walifanya hivyo, lakini hali ya kibinadamu ni ngumu na ya hatari sana,
Uchina na Urusi walijaribu havyo lakini utandaridhi vimewashinda,
Sasa kwetu si watafunga kila wanayemhisi tu bila ushahidi?
jf haijasajiliwa hapa nchini,sisi tuendelee na utaratibu wetu!
Hii sheria ni nzuri sana kwa watu wenye maadili ya kitanzania. Itawaumiza wale wasio na maadili na waliozoea kuandika uongo. Mfano wale wanaotukana viongozi au kama wale waliomzushia kifo mama Maria Nyerere "Mama wa Taifa".
Mkuu wa kituo.Moja ya Vipengele vinampa uwezo Police yoyote kuchukua Simu ya Mkeo au yako au ya Mtoto wako na Kuipekua.
Hii hoja moja inatosha kuonyesha Wabunge wa CCM hawako sawa.
Dah! Hii nchi imerogwa? Hivi hili Hawa ndio watunga sheria wetu?