Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

Tupambane na Makamba ndugu zangu. Kijana huyu pamoja na kulelewa na TISS lakini hana uzalendo kwa nchi yake. Taarifa za pesa chafu alizopokea anajua zitakuwa leaked hapa JF na hivyo anaelewa hatma yake si nzuri hapo baadae.

Rais atakayeingia Madarakani ajiandae kufahamishwa uchafu wa kijana huyu. Tutamwaga mtama hapa, ikishindikana tutapata namna ambayo Mwenyezi Mungu anajua itafikisha ujumbe.

Imetosha
 
Hiyo sheria ni nzuri tu ili watu waache ujinga na ushamba wa kimtandao ili turudi enzi zileeee za nokia ya tochi maana mitandao yenyewe siku hizi kuangalia xxx na kutukana wengine ndo kaz kutwa kucha
 
At last, sheria imepatikana. Mkuu informer, ngoja nipitie muswada huo kama ulivyouweka na nitakuja na majibu yanayotoshereza. All in All, it is a right time to have such Law (cyber crime law). Viva Tanzania...
 
Hii sheria ni nzuri sana kwa watu wenye maadili ya kitanzania. Itawaumiza wale wasio na maadili na waliozoea kuandika uongo. Mfano wale wanaotukana viongozi au kama wale waliomzushia kifo mama Maria Nyerere "Mama wa Taifa".
 
Ndiko tulikofika? All Assad na Gadaf walifanya hivyo, lakini hali ya kibinadamu ni ngumu na ya hatari sana,

Uchina na Urusi walijaribu havyo lakini utandaridhi vimewashinda,

Sasa kwetu si watafunga kila wanayemhisi tu bila ushahidi?

- HAHAHAHAHA hahahahaha kisu kimekufika kwenye mfupa hahahah

Le Mutuz
 
Sheria hii ikpita,madhara yake, upatikanaj wa habar utakuwa mgumu sana! Hata upelelezi kwa jesh la police utasumbua, wakat kwa sasa n rahc ata kupata mambo ya sirin kwakuwa watu wako huru kuzungumza, tukumbuke, MWISHO WA UBAYA NI AIBU.
 
jf haijasajiliwa hapa nchini,sisi tuendelee na utaratibu wetu!
 
titizo ni moja tu watoa muswaada ni serikali na ndio maana hawakubaliani na mapendekezo ya upinzani, kiukweli serikali haizingatii demokrasia ya mawazo haswa pale wapinzani wanapotoa hoja ya mapendekezo ya kubadili baadhi ya vifungu vya sheria haswa kwenye muswaada huu.
 
Makinda naona analazimisha kila kitu kipite....
 
Walianza na mb8, wamekuja na hiyo sheria MPYA nazani hadi oktober smartphone zitafungiwa kutumika na zisiingizwe kabisa tz. Wataagiza simu za torch tu.
 
wanaokubali semeni ndio . ccm chama makini hahahaha
 
Hii sheria ni nzuri sana kwa watu wenye maadili ya kitanzania. Itawaumiza wale wasio na maadili na waliozoea kuandika uongo. Mfano wale wanaotukana viongozi au kama wale waliomzushia kifo mama Maria Nyerere "Mama wa Taifa".

Kifo cha mama nyerere kilizushwa na kina makamba wenyewe ili leo wapate kitu cha kujustfy hii sheria na ndio maana wakalenga mtu mwenye profile kubwa kwa jamii
 
Moja ya Vipengele vinampa uwezo Police yoyote kuchukua Simu ya Mkeo au yako au ya Mtoto wako na Kuipekua.

Hii hoja moja inatosha kuonyesha Wabunge wa CCM hawako sawa.

Dah! Hii nchi imerogwa? Hivi hili Hawa ndio watunga sheria wetu?
 
Mkuu wa kituo.
 
Back
Top Bottom