Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi sio ya kidini kwaio hakuna ulazima wa kufuata waarabu walichoandika mirathi inagawanywa kiukoo fullstopSheria hatuwezi badili, sababu hatuna jeuri ya kubadili quraan.
Pili kuna vitu ukiruhusu automatically umeruhusu jambo jingine, mfano mtoto wa kike aliyebalehe ukimfundisha kuvesha ndomu na uzazi wa moamgo automatically umemruhusu achezee dudu ila akwepe mimba na magonjwa ya zinaaa tu.
Sasa unaporuhusu kutambulika mtoto wa nje ya ndoa, maana yake ni umeruhusu wana ndoa ama wasio wana ndoa kuzaa nje ya ndoa/kabla ya ndoa.
Na mtoto huyu anakuwa wa mama ili wa mama wakome ama waache kuzaa kabla ya ndoa, sababu mungu alijua wao masingle maza ndio watataabika, lakini pia, mwanamke ndio anateseka zaidi kwenye ujauzito, sasa na bado ikija mtoto akaambiwa sio wa baba ni wake, lazima afikiri mara elfu elfu.
Fact mkuu siwezi acha kumsapoti mwanangu et kisa sijui maandikoMungu hajamkataa mtoto, bali Mungu amekataza zinaa kwa sababu maalumu na lengo moja wapo ni kulinda heshima ya mwanamke pamoja na kuzifanya ndoa zidumu na ndio maana kwenye suala la ndoa kuna maelezo mengi yenye kuhitaji usikivu wa hali ya juu......!!!
Lakini pia Mungu hajamkataa mtoto wa nje ya ndoa kwa sababu yeye ndo ameumba na ndio maana hata huyo mtoto wa nje ya ndoa anaweza Kuwa tajiri, msomi, kiongozi na namna nyingine nzuri,,,,,.......!!!!
Mungu hajawakataa viumbe wake labda ni wewe umeamua kumpinga Mungu kwa sababu zako ko unatry to get away from believing to supreme beingkwa baadhi ya visingizio vya kipuuzi
Ulitaka nini kibadilishweSijasema ubadilishwe umenikopy vibaya
Basi wewe si muislamu hain haja ya kutoa malalamiko.Fact mkuu siwezi acha kumsapoti mwanangu et kisa sijui maandiko
Simanishi kuwa siamini kuwa kuna Mungu ila siamini hizi dini zenu, kama ni mirathi Baraza la wazee wa Mila litaamua lenyewe fullstop
kwahiyo tanzania ni taifa la kikristo siyo!Tanzania sio taifa la kiaarabu, waafrika tumelaaniwa huenda usikute hata Mungu haijui hio Quran
Kuna mtu aliweka uzi kuhusu hili suala na kwenye maelezo ya huo uzi kuna sehemu ya mirathi ya kimila kwa mtoto wa nje ya ndoa.. nalo kalitizame vizuriFact mkuu siwezi acha kumsapoti mwanangu et kisa sijui maandiko
Simanishi kuwa siamini kuwa kuna Mungu ila siamini hizi dini zenu, kama ni mirathi Baraza la wazee wa Mila litaamua lenyewe fullstop
Kama wewe muislam unatakiwa uwende sehemu ya mirathi wakupe elimu ya mirathi.Kama hiyo Quran inanibagua basi hamna haja ya mimi kuifuata
Hivi ni aya gani katika Quran imezungumzia hilo?Kwa hiyo ina maana Qur'an ibadilishwe au vp?, Qur'an ina miaka takribani 1400 tokea iteremshwe na haijawahi kubadilishwa ije kubadilishwa kwa sababu ya tamaa ya mali.
msipende kuzungumzia vitu msivyo na elimu navyoQuran kwa hilo îpo Sahihî.
Hata Biblia ipo hivyohivyo.
Rejea Kisa cha Ibrahim na watoto zake, Isaka na Ishmael.
Inazuiaje uzinifu wakati anaekomolewa ni mtoto? Baba na mama sio wanaonyimwa urithi wala kutambulika,mtoto ndie anaebaguliwa wakati hakuomba hao watu wazima wafanye uzinzi.Sheria nzuri sana hiyo inachangia kuzuia uzinifu, baadhi ya wanawake wanajilengesha mimba za matajiri kwa mbinu zote ili watoto wao warithi mali, mtu na mkewe wamekula dagaa na sukuma wiki ili wajenge, anakuja mpango wa kando na mwanawe kwenye matanga kudai mirathi.
Sisi watoto wa nje ya ndoa kwa kingereza ndo wanatuita “bastards“??…………. Anyway sijawah kujilaum hata siku moja kua mtoto wa nje ya ndoa..!
Wanaofanya zinaa ni baba na mama sio mtoto. Ingewekwa sheria inayowakomesha baba na mama na si mtoto ambae ni zao la zinaa ya hao watu wazima wawiliKuna mtu aliweka uzi kuhusu hili suala na kwenye maelezo ya huo uzi kuna sehemu ya mirathi ya kimila kwa mtoto wa nje ya ndoa.. nalo kalitizame vizuri
The best and only solution for this is to stop what called zinaa
kwenye uislamu hakuna mtoto wa kwanza wala wa mwisho, wote wanarithi kwa mujibu wa sheria hata wakiwa 30, alimradi wawe wamezaliwa ndani ya ndoa.JE?Kwa upande wa ukoo hawawezi kukataa maana Kwa kiukoo mtoto wa kwanza ndie mrithi haijarishi niwa nje au ndani wao hawajui hayo
mimi nakwambia kwa sheria, binadamu anaweza kufuata au kufanya anavyopenda. Siku hizi watu wanafanya wanavyopendaSio kweli wengine wanaitwa majina ya baba zao kbs
Maandalizi ya vita tayari......🤣🥴 mambo yashaanza….bado trends za watoto wa nje ya ndoa kuanza kuua wazazi waliowatelekeza….Chukulieni rahisi kuwapa mimba wanawake na kurudi jf kubeza singlemoms…..Time will tell.
Thx boss na wakristo inasemajeWa nje kwa mwanamke pia hawezi kurithi, alimradi umethibitisha kama siyo wa kwako.
Kwa imani ya kwetu inabidi uende msikitini, siku ya Ijumaa ambapo kwa kawaida kunakuwa na watu wengi, halafu usimame hadharani umkane yule mtoto kuwa siyo wa kwako. Hapo watu walioko ndiyo watakuwa mashahidi wako.
Siku hizi wanataka uweke kwa maandishi siyo kujisemea tu.
Kumbuka huku kwetu bado DNA haijatambulika vijijini.