Mzee Mohamed Said ameeleza Sana kuhusu udini kwenye harakati za Tanu na namna ulivyodhibitiwa..harakati za kudai uhuru wa Tanganyika zilikuwa za kizalendo, na hakukuwa na mambo ya udini, ukabila, au ukanda. Sio sahihi kusema mambo hayo hayapo kwasababu ya Mwalimu Nyerere.
Mzee Mohamed Said ameeleza Sana kuhusu udini kwenye harakati za Tanu na namna ulivyodhibitiwa
Serikali ya muingereza haikuwa na nia ya dhati ya kusambaza elimu kwa kila mtoto wa kitanganyika.......serikali ya Muingereza ilikuwa inakusanya wanafunzi toka maeneo mbalimbali ya Tanganyika na kuwapeleka Government School Tabora.
..alichofanya Mwalimu Nyerere na kuongeza wigo wa jambo ambalo tayari lilikuwa linafanywa ama na serikali au makanisa.
..pia sio sahihi kusema alifanya Mwalimu Nyerere. Kauli sahihi ni SERIKALI ya Tanganyika au Tanzania ilifanya.
Serikali ya muingereza haikuwa na nia ya dhati ya kusambaza elimu kwa kila mtoto wa kitanganyika.....
Ilisambaza elimu kwa baadhi ya watoto kuanzia "elites" na waliotaka wawatumikie katika mifumo yao isiyo na faida jumuishi na raia wote.....
Nyerere ndio worst president in Tanzania. Hapaswi kuitwa baba wa Taifa. Umasikini wa Tanzania ya sasa chanzo ni mwalimu. Viongozi wa CCM wanavobehave chanzo ni mwalimuNdg.Lissu ni mropokaji sana...
Mropokaji haswa......
Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!
Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....
Lissu aache mambo yake ya ajabu....
#JMT for ever[emo
Walishindwaje wakoloni kuwa na mpango wa elimu ya Msingi kwa kila mtoto toka wagawane makoloni hayo 1884....ilihali baba wa taifa alikuja nao miaka 16 tu baada ya uhuru.....Ni kweli shule zilikuwa chache.
..lakini shule hizo zilisambazwa maeneo mbalimbali ya Tanganyika.
..Na shule za serikali kwa mfano Tabora ilipokea wanafunzi toka kila pembe ya Tanganyika.
..Mpango wa ELIMU YA MSINGI KWA KILA MTOTO ulitekelezwa mwaka 1977, miaka 16 toka tupate Uhuru.
Psychopath.nyerere Was the worst president in Tsn
Nyerere ndio worst president in Tanzania. Hapaswi kuitwa baba wa Taifa. Umasikini wa Tanzania ya sasa chanzo ni mwalimu. Viongozi wa CCM wanavobehave chanzo ni mwalimu
Nyerere alipaswa kunyongwa before his time . Under CCM regime , Tanzania will never rise ! Julius was not even smart , a good leader in yule ambaye anaweza kuiona nchi yake in 500 years to come , Nyerere had no vision , matokeo yake Taifa limeweza kuongoza na mtu kama Samia , all that root ni Julius
Taifa lipo kama halipo
Julius is the worst president in Tz and he did nothing , let him rotten in hell ..,,,,F**** K
Tatizo la lisu ni uropokaji na kukosa shukrani kwa mwl Nyerere. Hatukatai kwamba mwl alikuwa na madhaifu yake, kama binadamu wengine wote tulivyo na yetu, including lisu. Lakini, kubeza kila kitu alichofanya mwl Nyerere inaonyesha jinsi lisu asivyo na shukrani na mwenye kujiona yeye ni mkamilifu.Hayati Baba wa Taifa hakuwa Malaika, alikuwa na mazuri yake na mabaya yake, tukiongelea mazuri yake tuwe tayari pia kuongelea mabaya yake.
Lissu yuko sahihi.
Uko sawa kwa 100%nyerere Was the worst president in Tsn
Nyerere ndio worst president in Tanzania. Hapaswi kuitwa baba wa Taifa. Umasikini wa Tanzania ya sasa chanzo ni mwalimu. Viongozi wa CCM wanavobehave chanzo ni mwalimu
Nyerere alipaswa kunyongwa before his time . Under CCM regime , Tanzania will never rise ! Julius was not even smart , a good leader in yule ambaye anaweza kuiona nchi yake in 500 years to come , Nyerere had no vision , matokeo yake Taifa limeweza kuongoza na mtu kama Samia , all that root ni Julius
Taifa lipo kama halipo
Julius is the worst president in Tz , let him rotten in hell ..,,,,F**** K
Ni ujinga kulaumu utawala ulioondoka miaka 40 iliyopita kwamba ndio chanzo cha matatizo, kwa hiyo miaka 40 tawala zilizofuata hayupo ambaye alitoka usingizini na kusahihisha makosa ya Nyerere?Tatizo mmelishwa matango pori..
Nyerere ndiye rais mbovu aliyejenga misingi mibovu sana ya nchi hii.
1. Ujinga mtopeo..ni yeye chanzo
2. Unafiki wa Tz ni yeye chanzo
3. Nidhamu ya uoga ni yeye chanzo
4. Nchi kuwa omba omba yeye chanzo
5. Umaskini ni yeye chanzo
Wewe umeona rais gani aliyefuata anayejielewa?Ni ujinga kulaumu utawala ulioondoka miaka 40 iliyopita kwamba ndio chanzo cha matatizo, kwa hiyo miaka 40 tawala zilizofuata hayupo ambaye alitoka usingizini na kusahihisha makosa ya Nyerere?
Madudu ya madrasa haya bila shaka!hawa wakipewa nchi watakuwa rais wa Ukraine!
Ulishiriki ?!![emoji44][emoji44]Oscar Kambona
Moringe Sokoine waliuwawa na mfu mwenye fikra devilish
Kwanini iwe hivyo kwa kuiunganisha Tanganyika na Unguja na Pemba?!!Hakuna Rais aliyekuwa mjinga, Mpumbavu,Zwazwa,Zumbukuku kama Nyerere!
Kitendo Cha kutuunganisha na Visiwa vya Pemba & Unguja ni Tafsiri sahihi ya Nyerere kutokuwa na Akili timamu!
Lisu Yuko sahihi!
Hakika [emoji7][emoji7]Nchi ya ajabu sana hii yule unayemuamini analikoroga muda wowote,Nyerere alishaondoka kumshambulia asiye kuwepo badala ya ku deal na mchwa waliopo ni upumbavu.Hivi Lissu anadhani yeye yuko sahihi 100%?hili la Nyerere linamsaidia nini Lissu kiharakati?
Kumbe nchi wanapewa tu watu fulani bila kuchaguliwahawa wakipewa nchi watakuwa rais wa Ukraine!
Walishindwaje wakoloni kuwa na mpango wa elimu ya Msingi kwa kila mtoto toka wagawane makoloni hayo 1884....ilihali baba wa taifa alikuja nao miaka 16 tu baada ya uhuru...
Think thrice
Nchi ya ajabu sana hii yule unayemuamini analikoroga muda wowote,Nyerere alishaondoka kumshambulia asiye kuwepo badala ya ku deal na mchwa waliopo ni upumbavu.Hivi Lissu anadhani yeye yuko sahihi 100%?hili la Nyerere linamsaidia nini Lissu kiharakati?