Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

..serikali ya Muingereza ilikuwa inakusanya wanafunzi toka maeneo mbalimbali ya Tanganyika na kuwapeleka Government School Tabora.

..alichofanya Mwalimu Nyerere na kuongeza wigo wa jambo ambalo tayari lilikuwa linafanywa ama na serikali au makanisa.

..pia sio sahihi kusema alifanya Mwalimu Nyerere. Kauli sahihi ni SERIKALI ya Tanganyika au Tanzania ilifanya.
Serikali ya muingereza haikuwa na nia ya dhati ya kusambaza elimu kwa kila mtoto wa kitanganyika.....

Ilisambaza elimu kwa baadhi ya watoto kuanzia "elites" na waliotaka wawatumikie katika mifumo yao isiyo na faida jumuishi na raia wote.....
 
..Ni kweli shule zilikuwa chache.

..lakini shule hizo zilisambazwa maeneo mbalimbali ya Tanganyika.

..Na shule za serikali kwa mfano Tabora ilipokea wanafunzi toka kila pembe ya Tanganyika.

..Mpango wa ELIMU YA MSINGI KWA KILA MTOTO ulitekelezwa mwaka 1977, miaka 16 toka tupate Uhuru.
 
nyerere Was the worst president in Tsn
Ndg.Lissu ni mropokaji sana...

Mropokaji haswa......

Ingekuwa si Nyerere yeye angesomea wapi?!!!

Nyerere ndiye aliyeikomboa mikoa ya kanda ya kati.....

Lissu aache mambo yake ya ajabu....

#JMT for ever[emo
Nyerere ndio worst president in Tanzania. Hapaswi kuitwa baba wa Taifa. Umasikini wa Tanzania ya sasa chanzo ni mwalimu. Viongozi wa CCM wanavobehave chanzo ni mwalimu

Nyerere alipaswa kunyongwa before his time . Under CCM regime , Tanzania will never rise ! Julius was not even smart , a good leader in yule ambaye anaweza kuiona nchi yake in 500 years to come , Nyerere had no vision , matokeo yake Taifa limeweza kuongoza na mtu kama Samia , all that root ni Julius
Taifa lipo kama halipo

Julius is the worst president in Tz , let him rotten in hell ..,,,,F**** K
 
..Ni kweli shule zilikuwa chache.

..lakini shule hizo zilisambazwa maeneo mbalimbali ya Tanganyika.

..Na shule za serikali kwa mfano Tabora ilipokea wanafunzi toka kila pembe ya Tanganyika.

..Mpango wa ELIMU YA MSINGI KWA KILA MTOTO ulitekelezwa mwaka 1977, miaka 16 toka tupate Uhuru.
Walishindwaje wakoloni kuwa na mpango wa elimu ya Msingi kwa kila mtoto toka wagawane makoloni hayo 1884....ilihali baba wa taifa alikuja nao miaka 16 tu baada ya uhuru...

Think thrice
 
nyerere Was the worst president in Tsn

Nyerere ndio worst president in Tanzania. Hapaswi kuitwa baba wa Taifa. Umasikini wa Tanzania ya sasa chanzo ni mwalimu. Viongozi wa CCM wanavobehave chanzo ni mwalimu

Nyerere alipaswa kunyongwa before his time . Under CCM regime , Tanzania will never rise ! Julius was not even smart , a good leader in yule ambaye anaweza kuiona nchi yake in 500 years to come , Nyerere had no vision , matokeo yake Taifa limeweza kuongoza na mtu kama Samia , all that root ni Julius
Taifa lipo kama halipo

Julius is the worst president in Tz and he did nothing , let him rotten in hell ..,,,,F**** K
Psychopath.
 
Hayati Baba wa Taifa hakuwa Malaika, alikuwa na mazuri yake na mabaya yake, tukiongelea mazuri yake tuwe tayari pia kuongelea mabaya yake.

Lissu yuko sahihi.
Tatizo la lisu ni uropokaji na kukosa shukrani kwa mwl Nyerere. Hatukatai kwamba mwl alikuwa na madhaifu yake, kama binadamu wengine wote tulivyo na yetu, including lisu. Lakini, kubeza kila kitu alichofanya mwl Nyerere inaonyesha jinsi lisu asivyo na shukrani na mwenye kujiona yeye ni mkamilifu.
Bila elimu bure ya mwl Nyerere lisu asingekuwa hapo alipo leo. Nani angemjua lisu toka huko machokoloni Ikungi - Singida, moja ya mikoa maskini and uneducated zaidi nchini bila elimu bure ya mwl Nyerere? Si angekuwa mchunga ng'ombe na mbuzi tu huko kwao mapochogo? Lisu ana tatizo la kujiona yeye ni bora kuliko watu wote. Huo ni ufhaifu (wa kibinadamu). Anapaswa kutambua kwamba kuna watu waliomfikisha hapo alipo leo, na mmoja wao ni mwl Nyerere aliyempa elimu bure toka msingi mpaka chuo kikuu. Kama lisu hamuheshimu baba wa taifa, sisi tutamheshimu na kumuenzi. Rip Baba wa Taifa Julius Kambarage Nyerere.
 
nyerere Was the worst president in Tsn

Nyerere ndio worst president in Tanzania. Hapaswi kuitwa baba wa Taifa. Umasikini wa Tanzania ya sasa chanzo ni mwalimu. Viongozi wa CCM wanavobehave chanzo ni mwalimu

Nyerere alipaswa kunyongwa before his time . Under CCM regime , Tanzania will never rise ! Julius was not even smart , a good leader in yule ambaye anaweza kuiona nchi yake in 500 years to come , Nyerere had no vision , matokeo yake Taifa limeweza kuongoza na mtu kama Samia , all that root ni Julius
Taifa lipo kama halipo

Julius is the worst president in Tz , let him rotten in hell ..,,,,F**** K
Uko sawa kwa 100%
 
No body is perfect...
Lakini nyumba inapokua mbovu ni dhahiri alojenga msingi alizingua
Lissu huenda yuko sawa kwa kiasi msingi wa ujenzi wa Taifa haukuwa na picha kubwa ya siku zijazo za usoni
NI UKWELI USIOPINGIKA SIASA ZETU SI JUMUISHI KWA WOTE,na kama siasa si jumuishi huwezi kuwa na uchumi jumuishi wala ustawi wenye usawa kwa wananchi wote
 
Tatizo mmelishwa matango pori..
Nyerere ndiye rais mbovu aliyejenga misingi mibovu sana ya nchi hii.
1. Ujinga mtopeo..ni yeye chanzo
2. Unafiki wa Tz ni yeye chanzo
3. Nidhamu ya uoga ni yeye chanzo
4. Nchi kuwa omba omba yeye chanzo
5. Umaskini ni yeye chanzo
Ni ujinga kulaumu utawala ulioondoka miaka 40 iliyopita kwamba ndio chanzo cha matatizo, kwa hiyo miaka 40 tawala zilizofuata hayupo ambaye alitoka usingizini na kusahihisha makosa ya Nyerere?
 
Wewe umeona rais gani aliyefuata anayejielewa?
 
Nchi ya ajabu sana hii yule unayemuamini analikoroga muda wowote,Nyerere alishaondoka kumshambulia asiye kuwepo badala ya ku deal na mchwa waliopo ni upumbavu.Hivi Lissu anadhani yeye yuko sahihi 100%?hili la Nyerere linamsaidia nini Lissu kiharakati?
 
Hakika [emoji7][emoji7]

Lissu anacheza na cheap popularity ya maamuma wengi na wenye chuki ZISIZO mashiko....
 
Walishindwaje wakoloni kuwa na mpango wa elimu ya Msingi kwa kila mtoto toka wagawane makoloni hayo 1884....ilihali baba wa taifa alikuja nao miaka 16 tu baada ya uhuru...

Think thrice

..waingereza waliwahi kuwa na mpango wa majaribio wa elimu ya msingi kwa kila mtoto ktk lilikuwa jimbo la tanga.

..inawezekana lengo lao lilikuwa kutekeleza mpango huo ktk majimbo mengine ya Tanganyika.

..mpango wa elimu ya msingi kwa watoto wote Tanzania wakati wa Mwalimu Nyerere ulitekelezwa hovyohovyo kisiasa na inaaminika kwamba ulileta athari mbaya ktk mfumo mzima wa elimu.
 
Nchi ya ajabu sana hii yule unayemuamini analikoroga muda wowote,Nyerere alishaondoka kumshambulia asiye kuwepo badala ya ku deal na mchwa waliopo ni upumbavu.Hivi Lissu anadhani yeye yuko sahihi 100%?hili la Nyerere linamsaidia nini Lissu kiharakati?

..Lissu alikuwa anajibu swali la Chifu Odemba, hakukurupuka na kuanza kumzungumzia Mwalimu Nyerere.

..Na katika majibu yake Lissu aliwazungumzia Maraisi wote, kwasababu Chifu Odemba alimtaka awazungumzie Maraisi wote wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom