Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

Jiulize kwa nini vilikufa. Na kwa namna wengi wetu wanafanya kazi, hatuwezi fika huko
Hoja uliyotoa ni kwamba watanzania hawaajiriki kwa sababu ya wizi na uvivu. Ndio nakahoji nilivyohoji. Je mwalimu aliyehitimu vyuo vya ualimu nao hawajiriki kwa sababu ya wizi na uvivu?

Una data zozote kuonesha watanzabia hawaajiriki kwa sababu ulizotaja?
 
1. Wengi hawaajiriki ndo maana baadhi ya shule za private zinaajiri walimu kutoka nchi za jirani

2. Kusuhu data, sijafanya utafiti rasmi lakini nina experience yangu mwenyewe, mifano ya kutosha kutoka kwa watu walionizinguka na kupitia mada kadhaa za huku jamii forum
 
Tatizo pia ni mishahara, Mimi niliwahi kupewa ajira ya mkataba wa miezi SITA kwenye shirika Moja la kimataifa na nilikuwa ndo kwanza nimemaliza chuo. Mshahara niliambiwa milioni tatu Kwa mwezi take home, sikuamini. Kila siku nilikuwa nawaza kazi. Kuripoti ni saa mbili lakini Mimi nilikuwa naingia saa 12 asubuhi nipo ofisini.

Asikwambie mtu kwanza hata wazo la ruhusa sijui likizo unakuwa huna. Hata ukifiwa na shangazi unawaambia nyie zikeni nitakuja Kuona kaburi.

Sasa wewe unalipwa laki 5 gross salary, bado Makato kibao na muda wa kazi ni saa mbili asubuhi Hadi saa 11:30 jioni. Kwanini usiwaze kuiba na kuleta uzembe uzembe kazini?
 
Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe.

Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo warudisha nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana.

Lakini pia walioajiriwa, hawafanyi kazi kwe weledi,

1. Kila siku ni kuomba ruksa mara anaumwa, mara shangazi kafiwa n.k.
2. Wengi hawafanyi kazi kwa maono na kuangalia namna ya kuboresha kazi zao, wapo tu

Watanzania wengi wanataka kazi kidogo, pesa nyingi kitu ambacho hakiwezekani

Lazima tubadilike ili kukabiliana na janga la ajira nchini
Unajua mishahara wanayolipwa.pricinple ni moja tu "Work as you earn" wawekezaji wengi ni wanyonyaji huku wao wakijilipa mamilion ya fedha
 
Tatizo pia ni mishahara, Mimi niliwahi kupewa ajira ya mkataba wa miezi SITA kwenye shirika Moja la kimataifa na nilikuwa ndo kwanza nimemaliza chuo. Mshahara niliambiwa milioni tatu Kwa mwezi take home, sikuamini. Kila siku nilikuwa nawaza kazi. Kuripoti ni saa mbili lakini Mimi nilikuwa naingia saa 12 asubuhi nipo ofisini.

Asikwambie mtu kwanza hata wazo la ruhusa sijui likizo unakuwa huna. Hata ukifiwa na shangazi unawaambia nyie zikeni nitakuja Kuona kaburi.

Sasa wewe unalipwa laki 5 gross salary, bado Makato kibao na muda wa kazi ni saa mbili asubuhi Hadi saa 11:30 jioni. Kwanini usiwaze kuiba na kuleta uzembe uzembe kazini?
Umemaliza kila kitu achana na huyo mshamba
 
Sidhani kama ni mshaara pekee mkuu. kuna wahindi/wageni wengi sana wanafanya kazi hapa bongo na wanalipwa pesa ndefu sana, je kwa nini hawakuajiriwa wabongo wenye hizo sifa ?

Hoja ya pili, sisi kama nchi bado ni maskini, mtu mwenye biashara ya mtaji wa 100M, hawezi kukulipa mamilioni. Ni lazima kufanya ane kazi yeye akue na wewe kiwango chako cha mshaara kikue
 
Hakuna mtu atakunyonya ukionyesha potential na uwezo wa kujisimamia
Not in Tz, Mi mkongwe nimeona mengi kwenye ajira. Wanakwambia kufanya kazi kwa bidii ni wajibu wako as per mkataba wa mshahara wako mdogo.
 
Soko la ajira la Jumuiya ya Afrika Mashariki liwekwe wazi ili tupate ushindani zaidi kutoka Kenya, Uganda na kwingineko! Hii itawaamsha Watanzania kutoka usingizi wa uvivu, wizi na ujinga.
 
Kweli mkuu. Watu wamelala. MImi binanfsi na pia watu wangu wa karibu tunateseka sana kupata watu wa kufanya nao kazi. Hata ukimlipa vizuri kwa kazi anayofanya,

1. Bado anatatuta namna akuibie
2. Hajiongezi kabisa, kila kitu hadi umwambie
 
Kwa uzoefu wangu kuhusu waTanzania suala uvivu ni suala linalotakiwa kujadiliwa kwa mapana na marefu ni tatizo sugu linalopuuziwa........
Tuanzishe hii program mkuu. Nchi yetu wazalishaji ni wachache sanaa
 
Back
Top Bottom