Shida ya ukosefu wa ajira sio mfumo wa elimu tu, watanzania wengi hawaajiriki, ni wavivu na wezi

Hivi tz kima Cha chini kikiwa 3m, tutabaki na sh ngapi ktk bajeti ya mwaka?

Naulizia tu
Issue siyo kima cha chini. Tatizo kubwa ni over taxation inafanya mishahara kuwa useless. Mfano gross ya 3m take home inaweza kuwa 1.8m. Wewe unaona ni sawa?

Hapo hatujaongolea inflation ambayo CCM hawajawahi control kwa nini watu wasiwe wezi na wavivu maana vipato vinaishia kununua mbogo na kulipa kodi tu.

Kama mtu.hatakuwa mwizi basi lazima atafute second job kukidhi mahitaji yake ya kila siku hapo ndipo uvivu kazini unaanza kuonekana
 
Kazi yangu ya kwanza nilikuta wamama wana magodoro kabisa ofisini, baada ya chai analala zake anasubiri muda wa kutoka v8 ipo nje anaenda zake nyumbani. Nilishangaa sana. Nachoshukuru Boss wangu aliziona jitihada zangu na kunitia moyo.
 
Tukichukulia mfano huu wako 1.8M, kwa tanzania hii mtu anaishi + kusave vizuri tu.

Tuchambue mambo kadhaa :-

1. Je huyu mtu amefanya jitihada gani ili alipwe 4M ?
2. Hiyo 1.8M anaitumiaje ?
 
Very sad mkuu. Unaweza pata picha namna hakuna uzalishaji kabisa
 
Hii kitu inakutoa kabisa kwenye utimamu wako wa kawaida uliokuja nao, zaidi unaonekana mjuaji na mpenda kazi.
Kwa bahati nzuri yule mzee(boss) simsahau aliniambia nipambane kabla hajastaafu niwe na elimu flani ili aniache sehemu salama.
 
Na ulifanya vyema kumsikiliza mkuu, la sivyo ungedumaa kiakili na kubaki kulalamika. Ukikutana na vijana, jaribu kuwaelewesha, labda baadhi watakuelewa na tutasonga mbele
 
Tukichukulia mfano huu wako 1.8M, kwa tanzania hii mtu anaishi + kusave vizuri tu.

Tuchambue mambo kadhaa :-

1. Je huyu mtu amefanya jitihada gani ili alipwe 4M ?
2. Hiyo 1.8M anaitumiaje ?
3M Ndo umechukulia mshahara wa mtazania? Wengi wana gross za 950k au 750k take home 450k au 500k believe me or not. Hiyo take home ya 1.8M ni watu wachache mno na majukumu makubwa sana kati ya 100 unaweza pata 5 kwa average ya wafanyakazi wote Tz

Wafanyakazi tz wengi wao wanalipwa wages siyo mishahara
 
Mkuu, point yangu ni kwamba mshahara hauwezi tosha, mahitaji yanakua kadri pesa inavyo ongezeka

Kuna watu wanapata 500k au chini ya hapo kama take home lakini wanaweza kuendesha maisha yao.

Wakati naanza mapambano, nilianza kwa kuajiriwa, nilikua nalipwa mshahara mdogo sana lakini nilipambana na kufanya kazi kwa uaminifu na bidii kubwa sana. Nilitafuta kazi za kando na bado nilihakikisha nafanya kwa weledi wa hali ya juu

Wote waliokua wanaendekeza uvivu na wizi, bado wapo wanaganga njaa hadi sasa na kulalamika kila siku
 
Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe.

Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo warudisha nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana.

Lakini pia walioajiriwa, hawafanyi kazi kwe weledi,

1. Kila siku ni kuomba ruksa mara anaumwa, mara shangazi kafiwa n.k.
2. Wengi hawafanyi kazi kwa maono na kuangalia namna ya kuboresha kazi zao, wapo tu

Watanzania wengi wanataka kazi kidogo, pesa nyingi kitu ambacho hakiwezekani

Lazima tubadilike ili kukabiliana na janga la ajira nchini
Tumejifunza kwa wanasiasa jaman....
Wanaokubali waseme ndiyo wanaokata waseme hapa. Ndiyo, hapana kisha 350k inasoma kwa akaunti.
Ila bado mfumo wa jamii zetu na elimu ndiyo unaofanya products ziwe hivyo. Tunda halindondoki mbali na mti wake.
 
Mifumo imewafikisha Hapo

Alaaniwe Mcc
 
Tumejifunza kwa wanasiasa jaman....
Wanaokubali waseme ndiyo wanaokata waseme hapa. Ndiyo, hapana kisha 350k inasoma kwa akaunti.
Ila bado mfumo wa jamii zetu na elimu ndiyo unaofanya products ziwe hivyo. Tunda halindondoki mbali na mti wake.
Wote tuwe wanasiasa mkuu 😂 😂

Nakubaliana na wewe, tatizo letu kubwa ni mifumo ya jamii zetu kabla hata ya elimu
 
Tuingine barabarani tuwatoe mkuu. Kulaani tu haisaidii. Nchi inakufa hivyo
Maandm ya simba na yanga saw ila mengine Tusubr dawa zituingie vzr

Sasa ni mandm ya aman Tuu ya kupngz juhud zlizotfksha hapa
 
Back
Top Bottom