Iran haijafeli acha uzwazwa.
Iran target yake ilikua ni millitary/airbase za Israel,viwanja ni sehemu ya raia na sio sehemu za kijeshi.
Yani kisa kambi ya gongo la mboto ishambuliwe ndio ligi ya NBC uwanja wa taifa na Chamazi isimame??
Mbona poor reasoning hii!?
Lengo la Iran limefanikiwa na kama sio Jordan,USA kudunguwa zile drone Israel ilikua inapata damage kubwa sana.
Iran imeonesha kuwa ina uwezo wa kuishambulia Israel kutoka kwake Tehran.
Na ndio maana kalenga millitary base ya Israel.
Teyari amesha impose threat kwa Israel,na silaha alizotumia zote za ujazo wa kati na masafa ya kati.
Sasa jiulize angetumia masafa marefu tena guided missiles hivi ingekuaje!?