Shillingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya shillingi ya Kenya

Kwanini wanunue mafuta kwa bei kubwa? Hebu dadavua mwanauchumi mwenzangu.
Mi sera TU za kikodi na tozo,. Kwani haya mafuta, serikali ikitaka yapungue bei si wanaondoa TU Yale matozo na kupunguza Kodi yake! Lakini wanaweza!? Wakati huo huo wakizitaka hizo fedha na vyanzo vingine hakuna!?
 
Mi sera TU za kikodi na tozo,. Kwani haya mafuta, serikali ikitaka yapungue bei si wanaondoa TU Yale matozo na kupunguza Kodi yake! Lakini wanaweza!? Wakati huo huo wakizitaka hizo fedha na vyanzo vingine hakuna!?
Nimekuuliza TZ na KE tunanunua mafuta sote kwa Dollar nje ya nchi lakini huko kenya yanauzwa juu kwanini?
Nijibu kiuchumi.
 
Tueleze sasa baada ya kuporomoka TSh kuna impacts gani zinazoweza kumuathili mtanzania?
Mtanzania ambaye mshahara wake haujapanda kwa miaka zaidi ya saba amepandishiwa nauli, gharama za maisha kama chakula, umeme, maji na mafuta. Wakati kipato ni kilekile kwa shilingi, inflation imeongezeka na gharama zimepanda.

Sukari, mafuta ya kupikia, unga, mchele vyote bei juu. Mafuta sasa ni 3,200+ kwa hapa Dar, miaka mingapi nyuma mafuta yalikuwa 2,500. USD rate ni zaidi ya 2,500 hiyo rate ndio tutumie kufanya exchange ya imports zetu zote. Huoni impact ya kushuka kwa thamani ya TZS hapo?
 
Hii inauhusiano upi na KES currency? Kwani nauli tunalipa in KES?
 
Stress nyingine za kujitakia, kama hilo limekuudhi usiende Kenya, usinunue bidhaa kutoka Kenya, achana na lolote la Kenya kwa muda hadi shilingi ikae sawa against ksh.
unahisi hiyo ndo sababu Tsh inashuka thamani , una maanisha wakenya hawaji huku wala hawanunui vitu vyetu ?

Ila ccmu mungu anawaona hiiiiii #InJPMvoice
 
wavaa matshirt ya kijani hawatakuelewa watakuita ww ni chadema tu
 
Kwanini hilo unalichukulia kuwa ni tatizo?
 
exchange rate ni indication ya export vs import yako , kama una export sana lzm watu wahitaji sn kuwa na hela yako na the higher the demand the strong the currency

kiufup hapa tukubaliane , hatupo kweny right track

Nyerere alikuwa anaproduce rawmaterials nying sana , hivyo alikuwa ana high exports na ndio maana currency ya KES vs Tsh hazikuwa na gap kubwa kama ilivyo siku hz

Ccmu wameweka kodi nying kwa production unit za ndan halaf wakaondoa tarrifs nying tu kwa imported products , hivyo wameua production ya ndani hivyo kuua export hivyo hata demand ya hela yetu duniani inakuwa ndogo na hivyo thamani inashuka


HII NI NAMNA MOJA EXCHANGE RATE INA UHUSIANO NA UCHUMI #EID-MUBARAK SHEIKH
 
s
sio kwel , bidhaa za kenya huwa zipo cheap sana kuliko huki kwetu , hivyo wanamport sana kwetu krb kila kitu hata vile vitu tunavifuata pamoja China
 
Ila sisi tusinunue kenya?
 
Samia yupo bize na kiwanda cha uteuzi, kutengua, na kucheka Cheka, na kununua magori ya timu za, mpira
 
Tatizo tunaingiza Kila kitu kutoka nje, Tanzania tunapaswa kuruhusu uwekezaji kwenye viwanda hasa vya sukari, bati na cement. Hivi vitu vimeshusha sana uchumi wa Nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…