kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Hata mimi nimeona ni kiki tu hakuna cha jambo la dharula hapoWatanzania wengi wanapenda kiki mkuu, Hapo ukute taarifa zote walikuwa nazo Ila wakaona wawashtukize kwenye Tukio lenyewe while vitu Kama vile vinaweza sululishwa hata na mwenyekiti tu sababu naye Ni serikali na ikawa Sawa tena kwa amani wakaona wasubiri waende na silaha yani Ni foolish sana
Wajinga sana wale police wavamizi. Walitaka kutengeneza script ili wawe maarufu tu hakuna la zaidi. Police mara nyingi wanatumia nguvu kuliko akiliNimeiona hii video ya binti kuvamiwa kwenye harusi-nimeshangaa sana.
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuvamia harusi huku ukiwa na polisi wengi namna ile tena wenye silaha nzito?
Je ulipokuwa unafanya tukio hilo hukufikiri kuhusu athari za kisaikolojia atakazobaki nazo huyo binti-ambaye wewe unaona kama unamsaidia?
Haujawatendea haki hao watoto pamoja na wazazi wao.
Ni kosa wamefanya lakini utaratibu uliotumika kusolve tatizo utaharibu zaidi kuliko kujenga.
Hilo tukio litamuathiri binti muda mrefu na huenda likasabisha akaichukia zaidi hiyo shule yenyewe.
Ingekuwa vema ungezuia hili tukio kabla au baada na si wakati linaendelea ili kulinda saikolojia za hao watoto au hata wakati linaendelea lakini kwa utaratibu unaofaa.
Kabisa ni aibu mno kuvamia kwa nguvu na mabundiki yale kwa watu ambao hawajashika hata fimbo..Wajinga sana wale police wavamizi. Walitaka kutengeneza script ili wawe maarufu tu hakuna la zaidi. Police mara nyingi wanatumia nguvu kuliko akili
Video ipo wapi mnaongea as if wote tumeona weka video tuijadiri baada ya kuiona, alafu mnaongea kimafumbo mnamuogopa Nani? Mnafichaficha majina ya wahisika mnaiogopa Nini?Hata mimi nimeona ni kiki tu hakuna cha jambo la dharula hapo
Hii hapaVideo ipo wapi mnaongea as if wote tumeona weka video tuijadiri baada ya kuiona, alafu mnaongea kimafumbo mnamuogopa Nani? Mnafichaficha majina ya wahisika mnaiogopa Nini?
Tayari nimeattachAcheni uoga watajeni wahusika wekeni na video tuone Maxence Melo hajakataza kufanya hivyo Wala uongozi wa JamiiForums haujakataza sasa mnaogopa Nini hata picha ?
Nimeiona hii video ya binti kuvamiwa kwenye harusi-nimeshangaa sana.
Hivi kulikuwa na ulazima gani wa kuvamia harusi huku ukiwa na polisi wengi namna ile tena wenye silaha nzito?
Je ulipokuwa unafanya tukio hilo hukufikiri kuhusu athari za kisaikolojia atakazobaki nazo huyo binti-ambaye wewe unaona kama unamsaidia?
Haujawatendea haki hao watoto pamoja na wazazi wao.
Ni kosa wamefanya lakini utaratibu uliotumika kusolve tatizo utaharibu zaidi kuliko kujenga.
Hilo tukio litamuathiri binti muda mrefu na huenda likasabisha akaichukia zaidi hiyo shule yenyewe.
Ingekuwa vema ungezuia hili tukio kabla au baada na si wakati linaendelea ili kulinda saikolojia za hao watoto au hata wakati linaendelea lakini kwa utaratibu unaofaa.
Sasa siku hizi wanavamia kwenye kuoa?Tayari nimeattach
Nimeona mkuu huyo mwanafunzi wa Chuo gani ?Tayari nimeattach
Anasoma Chuo gan?Kabisa watasababisha huyu achukie shule jumla.
Kuna issue nyuma ya pazia maana wameenda mpaka na waandishi wa habari maana yake tukio lilikua linajulikana kabla yaSasa siku hizi wanavamia kwenye kuoa?
Au jamaa alichukua mke wa polisi
Polisi Kama mwalimu tu, tofauti yao ni hiyo rational tu,...Kuna issue nyuma ya pazia maana wameenda mpaka na waandishi wa habari maana yake tukio lilikua linajulikana kabla ya