Ndio , gari lilikuwa na watu watano akiwemo Makamu wa Rais Salum MwalimuNayeye alikuwa humo ndani ya hiyo gari ama vipi?
Mkuu kuna mgombea udiwani ni mtoto wa mganga wa kienyeji aliwambia wasikanyage huko wakawa wabishiKama dereva anachoka sana apate msaidizi angalau wapokezane baada ya kilomita 500.
Halafu mikutano ipunguzwe ili kuepusha gari kupelekwa mwendo kasi sana ili kuwahi.
Halafu siyo lazima sana gari za viongozi kuendeshw speed sana.
Hiyo ajali chanzo itakuwa mwendo kasi ndiyo maana ikapinduka mara 5.
Huwa sioni mantiki gari za viongozi kuendeshw kasi kupitiliza.
Tanzania bado tuna barabara mbovu na au finyu kumudu mwendo kasi.
Halafu kuendesha gari rafu na au kwa kasi sana siyo udereva Bora.
Dereva bora hufuata sheria na busara akiwa barabarani.
Inatoka rohoni? Kama ni hivyo ubarikiwePole, Mungu ampe wepesi aweze kuendelea na kampeni.
Maendeleo hayana vyama!
Dah,kama uchawi unafanya kazi mbona Jiwe anahangaika mpaka anachanganyikiwa sasaMgombea wa udiwani wa kata hiyo ni mtoto wa mganga wa kienyeji juzi alikuwa na mkutano kakola alisema chadema hawamuumizi kichwa na Hana haja ya kupiga kampeni kumbe kweli
Siwalisema lami haina maana wameonja shubiri ya mbavu za mbwa, sie tulishazizoea tunapitaga ma mia hamsiniAisee vipi hali yake tupeni taarifa kamili
Mkuu bado huja amini?Hiki ni kipindi muhimu sana. Acha kutoa habari zisizokamikilika. Kumbuka Mwalimu ni mgombea mwenza. Usilete habari kama unaripoti ajali ya mchumba wako. Tulia.
Hakuna kampeni kwenye hiyo kata hata mama samia akiambiwa asende akatii, makamanda wa kakola wamemwingiza chaka walitaka kimpima kama ni mzima kwenye mizizi, wao wanaita KukokiDah,kama uchawi unafanya kazi mbona Jiwe anahangaika mpaka anachanganyikiwa sasa
Jinafiki katika ubora.Mungu Mkubwa.
Get well soon.
P
Hahahaaaa......siasa siyo uadui!Kimoyomoyo unafurahi huku ukitamani yangempata fulani
Amen bwashee!Inatoka rohoni? Kama ni hivyo ubarikiwe
Jinafiki katika ubora.
washenzi nyie mumekanyaga mpunga wangu muulipe, hapo barabara imenyooka unaangushaje gari? Hawa madereva sijui munawatoaga wapi? sie hapo tunapitaka na hiace imefuta mshale
ni madereva masharobaro tu, police wamkamate na kumsweka ndani, tata za bedui zinapitaga zimefuta mshale, sasa hizo mbavu za mbwa ndio ziangushe gari kweli, ujinga tuMkoa wa Geita hakuna Barabara za lami.wagombea mkifika Huko muwe Makini na hizi Barabara. Salim pole sana