Uchaguzi 2020 Shinyanga: Salum Mwalimu amepata ajali eneo la Msoka akitoka kwenye kampeni za Urais jimbo la Msalala

Nawapa pole wahanga na CHADEMA kwa ajali hiyo.
Mungu awaponye na kuwapa afya njema ili waweze kuendelea vyema na majukumu yao. Amina
 
Uongozi wa Chadema uone uwezekano wa kumpatia gari mpya Mgombea Mwenza wa Lissu.

Kama tatizo ni ukwasi wamuombe Magufuli awasaidia gari moja kati ya sitini anayotembea nayo..
 
Poleni,nashukuru sana mmetoka salama,hatutaki visingizio ,kingetokea kifo mngesema CCM imewahujumu .

Sent using Jamii Forums mobile app
wapuuzi tu, hapo wala sio pa kuangusha gari, siwalisema wanataka maendeleo ya watu waone sasa umuhimu wa lami, jpm kasema anaweka lami hiyo barabara yeye alienda kupinga ameona sasa mungu sio asumani
 
wapuuzi tu, hapo wala sio pa kuangusha gari, siwalisema wanataka maendeleo ya watu waone sasa umuhimu wa lami, jpm kasema anaweka lami hiyo barabara yeye alienda kupinga ameona sasa mungu sio asumani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119],tena mwenzake anatumia v8 ,ananyanyua coil kwenye hizo barabara za vumbi,lakini anaona umuhimu wa lami,yeye sijui kruger hiyo?anyway kikubwa wametoka salama,ni jambo la kushukuru,hatupendi watu kusababisha taharuki hii miezi miwili ya uchaguzi iishe salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Please, naendelea kusisitiza, tuendeleeni kuwaombea wagombea wetu wote Kwa Vyama Vyote, hasa wakati huu WA Kampeni ambapo sheteni hutumia watu wengi kumeza watu,

Tunachotamani, tuone Kampeni zote zikifika mwisho Kwa Amani na uchaguzi ukifanyika Kwa Amani na mshindi Magufuli atangazwe Kwa Amani na kutuongoza Kwa Amani
 
Pole Makamu,Mungu aendelee kukulinda
 
Poleni, inaonekana mwendo ulikuwa mkali sana.polis waongoze hii misafara.
 
Poleni sana. Mwenyezi Mungu awaponye haraka muendelee na kampeni
 
Gari wanayotumia ni kuukuu imechoka sa a na service haifanywi sababu ya ukata wa pesa. Nipo tayari kuwasaidia gari mpya na kuwafanyia service, hivyo naomba mawasiliano yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…