Shirika la Posta laanza biashara ya mabasi mikoani

utakuta nauli from dsm to bukoba ni 25,000/-

mabasi binafsi lazima yafe kifo cha mende
 
Watanzania wengi ni wachawi bila wao kujijua heko shirika letu la posta huduma zitakuwa za kizalendo zaidi.
Hao matajiri wa manasi wamewalisha nini?
 
Yanaanza kubeba watu moja kwa moja pamoja na vifurishi..
yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
 
We jamaa wewe toka jf haraka na uende fb
 
Ushauri murua kabisa. Eti wanasafirisha abiria kwani binaadamu nae amekua kifurushi?
 
Sasa figisu kwa akina NEWFORCE na RUNGWE EXPRESS zitaanza hivi karibuni , yale yale ya FASTJET !
Una umri gani?
Tumewahi kuwa na mabasi ya posta miaka kadhaa nyuma yakapotea enzi za kikwete hapa, hayakuzuia mabasi mengine kufanya kazi hata kidogo...
Mabasi ya posta huwa machache kulinganisha na ya watu binafsi na abiria wengi nyakati zile walipenda kusafiri na mabasi ya posta changamoto ikawa yanawahi kujaza abiria mapema.
 
yatasafirisha vifurushi mwezi tu...mwezi unaofata na mwendelezo yatabeba vifurushi Watu na mwisho yataanza kupaki stand ya ubungo moja moja na Mpk 2020 itakua rasmi serikali kuanza biashara ya usafirishaji Watu mikoani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], asante kwa kuiona future boss
 
Shirika la posta lina miaka mingi likifanya hivyo....
Badala ya kubuni usasa ktk huduma za posta wahamia kupost watu,
Wameanza na Mtwara to masasi tata lao lenye rangi hiyohiyo kumbe imenoga sawa lkn naona lengo n kupunguza gharama ya ndege kwa vifurushi ili zipande mabas, lbda tufe tutayaona mengi
Huna taarifa tu, hii sasa labda ni maboresho na upanuzi zaidi..
Abiria wengi walipenda kupanda mabasi ya posta changmoto ni yalikuwa machache kipindi hicho.
 
Lipo miaka hilo, niwahi safiri nalo miaka ya tisini njombe songea.
Kwa sasa Shirika La Posta wana Basi Moja dogo linalofanya safari zake Makambako to Songea Daily,ni TATA hivi wamefanikiwa ndio maaana imewapa MOYO wa kuendelea na biashara hii!
 
Serikali hii inawaonea gere makampuni binafsi ya biashara na inatamani biashara zote zifanywe na serikali ila tu haina uwezo na imeshapigwa bao.
Duh!
Hauko well informed na operations za shirika bila shaka...
 
This mindset dah!
Kimefeli kabla ya kuanza.
Wataanza kuajiri ndugu zao na kuwalipa mishahara ya ajabu ajabu isiyoendana na soko. Wizi wa vipuri etc. Running costs zitakuwa balaa.
Likidmu miaka miwili, itakuwa muujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…