Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kama ilivyokufa Jamhuri ya Tanganyika, hakuna kitu duniani kinachoitwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar, ilikufa ikazikwa. Kilichopo ni JMT.Mungu ibariki Jamhuri ya watu wa Zanzibar
Jee unakijua chanzo cha huu muungano wetu adhimu?.
Kwa kukusaidia, aliyetaka muungano ni Karume tena ulikuwa uwe muungano wa nchi moja!. Nyerere ndiye alimkatalia.
Jee unaijua sababu ya muungano?.
Sababu ni Tanganyika kuipatia ulinzi. Baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ya January 12, yalimg'oa Mwarabu na kuvirejesha visiwa hivyo kwa wenyewe Wamatumbi. Manowari ya Muingereza ilitia nanga bandari ya Mombasa, tayari kuivamia Zanzibar kuikomboa na kumrejesha Sultani aliyepinduliwa.
Ndipo Karume akaomba msaada wa ulinzi toka Tanganyika, the best way to do this ni kuungana fasta.
Tukakubali kuungana, tukaifuta utaifa wetu na kuusacrifice Tanganyika for Tanzania, hivyo muungano ukivunjika, Jamhuri ya watu wa Zanzibar inaweza kurejea, lakini Tanganyika haiwezi, ilikufa tukaizika, ndio maana tutaulinda muungano kwa gharama yoyote.
P
Mkuu Gibuu, aliyekuambia hayo kuwa ndani ya BOT yetu kuna 11% ya Zanzibar. Hakuna kitu kama hicho, BOT ni 100% owned by serikali ya JMT.rodrick alexander,
Tatu, katika bank kuu ya Tanzania,bot, Zanzibar inatakiwa ipatiwe asilimia 11 , hivi serikali ya muungano inaipa Zanzibar 4.5 , suali, kwa kipindi gani Zanzibar haijapokea hio fedha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Gibuu, aliyekuambia hayo kuwa ndani ya BOT yetu kuna 11% ya Zanzibar. Hakuna kitu kama hicho, BOT ni 100% owned by serikali ya JMT.
Nimewafanyia Documentary ya miaka 50 ya BOT, niliulizia nikathibishiwa hakuna kitu kama hicho.
P
Thubutu, hamna ujasiri wa kuwazimia Zanzibar umeme. Zanzibar oyee.Wawakatie umeme tu hakuna namna
Hizi ni kelele tuu, kama ni kweli Wazanzibari hamuutaki muungano fanyeni kile mnachopaswa kufanya na sio kuandika humu jf tuu.Wazanzibar tulishasema na hapa ninasema tena, Muungano huu hatuutaki, hatuutaki na hatuutaki. Ni koti tulilolichoka, limechakaa, lina miiba, linanuka vibaya na linatubana. Na nyinyi watanganyika mseme sasa kama hamuutaki huu muungano.
Muungano na CCM siamese twins .Kifo cha ccm kifo cha muungano.Hali kadhalika kifo cha muungano ni kifo cha ccm. Hata bila ya kura ya maoni ogopa siku wenzetu watapekura makasha yao kutafuta bendera za ASP.Hizi ni kelele tuu, kama ni kweli Wazanzibari hamuutaki muungano fanyeni kile mnachopaswa kufanya na sio kuandika humu jf tuu.
Wanzanzibar amueni moja, ama acheni kelele za muungano!, ama pigeni Kura ya Maoni, muamue moja!.
P
Ukitoka wewe nikaingia Mimi kwenye Urais nitabadili katiba isomeke Unguja na Pemba ni Wilaya Mojawapo za either Mkoa wa Dar es Salaam, Pwani au Tanga. Zitakua na hadhi sawa na Kisiwa cha Mafia.Katiba inatamka kuwa Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika.
Nikiwa Rais nitaibadili isomeke "Zanzibar na Pemba ni mikoa ya Tanganyika."
Kama ni urojo mtaruhusiwa kupika hizo rojo mahali popote. Lakini nchi hakika hamtapewa hata kwa dawa.
Kiusalama ni lazima iwe chini ya tanganyika daima!Gharama ya kuhitaji kitu.. Tanganyika tunahiitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyotuhitaji.. Muungano tunautaka sisi.. wa zanzibar hawautaki
Uko sahihi kiongozi πππβGharama ya kuhitaji kitu.. Tanganyika tunahiitaji Zanzibar kuliko Zanzibar inavyotuhitaji.. Muungano tunautaka sisi.. wa zanzibar hawautaki
βοΈKuna haja ya serikali moja, huu ujinga uishe.
Mpendwa, unataka damu imwagike eeh?
Si wanachukua bure kutoka kwa bibi yao au vipi?? Miafrika na akili zao fupiWangekuwa hawauhitaji,wasingekuwa wanakimbizana Dodoma,kununua viwanja na kuanzisha makazi,
Kuna sehemu inaitwa Oroa,Pongwe,mahoteli yote ya kitalii,yanapata mahitaji yao,ya vyakula kutok a bara
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kukubali hili maana kuna wanasiasa wanaogopa watapoteza vyeo vyao na ulaji.Suluhisho la kudumu la kero zote za muungano ni moja tuu, the one and only, serikali moja!. Tanzania inakuwa nchi moja chini ya rais mmoja na serikali moja yenye majimbo mawili, Bara na Zanzibar ambayo yataongozwa na ma gavana.