Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Ila mama yako mzazi unataka ahudumiwe na kusaidiwa na mumeo?

Nikisema wanawake ni wabinafsi sana sidhani kama nakosea..

Jukumu la kusaidia wazee waliokuzaa kwa mwanaume ni jukumu la lazima kwa mujibu wa dini ya kiislamu.

Na sijui wanawake kinawauma nini ukianza kusaidia wazazi wako waliokuzaa na kukulea.

Ni roho mbaya tu inawapelekesha, siku zote mke ni mpita njia tu na sio rafiki wa kudumu,,,, ila mama yako na baba yako ndio damu yako ya kudumu hata iweje.

Wale wazee wa kataa ndoa naanza kuwaelewa na mimi ijapokuwa sijui mnawasema vbaya sijui ni wazee wa upinde hayo ni majina tu yasiyo na ukweli.

Ukitaka kumuuwa mbwa mpe jina baya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…