Shituka kijana, wewe sio benki kwenye mahusiano yako

Mimi ni Mwanaume Mkuu 🙏

Hoja yangu ilikuwa unaanzaje kumsaidia majukumu Baba yako kumhudumia Mke wake wakati nawe una Mke wako hutaki kumhudumia?

Bila Mke, hao watoto utazaa na nani?

Mwanamke akishakuzalia obvious unatakiwa kumpa umuhimu na umuhudumie Kwa upendo kama alivyobeba Jukumu la kukuzalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…