SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

SHIWACHANDO - Umoja wa wanaume mnaoteswa na wake zenu

Eti nimemuweka kabatini aozee huko!! Afu baadae kikani unblock kichungulie naongea nini?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Km lijinga vile, ila nimelisuuza siku ile!!! Lilivyoamka kila comment linanimention jinsi gani nilimkanda vizuri [emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
[emoji23][emoji23]atakua anakupenda sema anashindwa aanze vipi
 
Mara paap anakwambia si utamke hayo matusi mbona unatukania moyoni si wajifanya kidomo juu kama chuchungee! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Ha ha haaaaa jamaniii huyo atakuwz mwanga
 
Back
Top Bottom