Shocking: Video inayomuonesha P Diddy akimpiga vibaya mpenzi wake Cassie yawekwa hadharani

Kuna wajiga humu wanamsema didy vibaya wakati baba zao walikuwa walevi wakitoka virabuni wanawapiga mama zao mpaka uchi unaonekana lakini humu wanajifanya wazungu eti didy kakosea fucking kabisa...
 
Kuna wajiga humu wanamsema didy vibaya wakati baba zao walikuwa walevi wakitoka virabuni wanawapiga mama zao mpaka uchi unaonekana lakini humu wanajifanya wazungu eti didy kakosea fucking kabisa...
Kwa hiyo matendo ya baba yako mlevi,mfiraji na mpigaji wa wanawake majirani walizihamishia kwako na kukuzuia usitoe maoni kwa wengine?Kwa hiyo huyo mkimbizi wa Kisomali unamuonea huruma asisemwe?Ila wewe ni wa ajabu sana.
 
Tuliyasema haya humu watu wakabisha ooh hakuna ushahidi.

Huyu mwamba Sean Combs ni kweli baadhi tunamkubali hata mimi binafsi pia

Ila kama kuna mahala alizingua ukweli usemwe hatuwezi kuwatetea kwa sababu ni blacks wakifanya usenge

"Ogopa Mungu na teknolojia"
-R.I.P Ruge Mutahaba
 
😝😝😝😝😝😝
 
Kutaman maisha ya watu mitandaoni kumbe wanabakwa,na kupigwa
Walivyokuwa wakitoka pamoja kwenye mared carpet unasema eee unawatamania kumbe kule ndani anaitiwa wanaume wanamfanya huku kaleweshwa nzwiii
Didy afungwe kama Kelly
 
Once msomali, always msomali
 
Kuna wajiga humu wanamsema didy vibaya wakati baba zao walikuwa walevi wakitoka virabuni wanawapiga mama zao mpaka uchi unaonekana lakini humu wanajifanya wazungu eti didy kakosea fucking kabisa...
Sasa huoni kama wanaosema Diddy kakosea ndo sisi ambao bado tuna machungu ya mama zetu kupigwa hadharani tukishuhudia? Binafsi nimekulia kwenye maisha ya hivyo ndo maana nina hasira kali mno dhidi ya Diddy. Hata baba yangu mzazi hatuko sawa sana kwa sababu ya hizo kumbukumbu mbaya alizonisababishia. Watu wengi hapa TZ huonyesha upendo mwingi kwa mama zao kwa sababu ya baba zao kuwaonea mno mama na watoto. Yaani familia nzima inakuwa wahanga wa tabia za baba.
 
Hiyo mbona kawaida, wangapi wanapigana kwenye ndoa/mahusiano yao? Vile vile tutajuane makubaliano yao walipokuwa himo ndani? Je kama huyo binti alimuibia pesa zake?
 
Hata Rihanna amaesaidia sana kumsaficha Chris licha ya kichapo alicho mshushia.

Chris ashukuru sana Rihanna alikuwa akimpenda sana mpaka sasa huwa anakiri ni mpenzi wa maisha yake kama Rihanna angekuwa golddigger tu Moko ungemuwakia Chris
 
Peleka ujinga wako, Je kama hiyo pisi ilimuibia? Au ilimtukana? Hayo mambo ni kawaida kwa wanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…