Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

Asante sana kwa kuleta mchanganuo sahihi
 
Hela hazihitaji kelele. Zinajieleza. halafu, wenye hela huwa hawana mbwembwe. Ni wa kawaida sana na hawataki attention za kijinga kijingaπŸ“ŒπŸ”¨
 
Land Cruiser Kama ya lugumi inaenda kwa usd 85000 bila kodi na hiyo ni entry level. Top level unafika dollar laki
 
Lugumi alikuwa anapiga brush viatu town Mwanza, rafiki zake wengi pale walikuwa tax drivers, Lugumi aliyempa mifumo akafika hapo ni mwanamke.
Yule mwanamke alikuwa mtoto wa kigogo, jamaa akatumia fursa vilivyo, nilisikia walisha divorce na huyo mdada, now niseme ni mmama.

Jamaa alipotea, aliporudi pale town kwa washikaji zake, kwanza aliwaita hoteli moja ya kifahari, akawa anauliza mmoja baada ya mwingine ana shida gani na anataka pesa kiasi gani, jamaa hapo yupo na briefcase imejaa noti...

Wale jamaa zake walipigwa pesa pale wengi wao hawakuamini, wanajiuliza huyu jamaa si alikuwa ana brush viatu? kesho hawakufika kwenye kazi zao, wengine wakaacha na kazi kwa ma boss zao baada ya kuwezeshwa mitaji...

Sema ni jamaa flani good heart sana... hana noma... anazijua shida...
 
Na hana kelele
 
Ila kuna thread za kutosha humu jf zinasema, ukienda dar lazima utoboe maisha 😁😁😁
Miaka ya zamani Dar, ilikuwa wale matajiri, I mean ndio matajiri mpaka leo kama Bakhresa, alikuwa kila Ijumaa anagawa hela pale Livingstone ilipokuwa ile Ice Cream parlour ya kwanza Dar nzima.
Lakini kwa kuwa wakazi wa Dar walivyokuwa na ustaarabu na kujivunia utu wao hata kama anauza madafu, walikuwa hawapangi mstari kusubiri hela ya bure.
Wote waliokuwa wanapanga mstari walikuwa wale ombaomba wa kweli. na ilikuwa aibu kwa mtu wa kawaida kujipanga kusubiri upewe hela.
Leo hii Dar ilivyofikia ni masikitiko.....
 
Na hana kelele
Hana kelele..
Hana huo ushamba..
Jamaa ameanza kumiliki magari ya thamani sio leo.. kwake ni maisha ya kawaida jumlisha na umri alionao inamfanya asiwe na ushamba huo bali hekima zaidi, pengine alikuwa anashangaa kumuona huyo dogo chief akitumia nguvu nyingi kujitangaza ana pesa..

Ila huyo jamaa chief mi mwenyewe huwa namshangaa....
 
Na hana kelele

Kuna wakati alitaka kubugi. Kuchukua jengo la ATCL. Pale angeita maji mma. Supplier wa Windhoek amepotea mjini. Kucheza na mifumo ambayo ina instability nyingi na inachuja kadri muda unavyokwenda, ni hatari sana. Ajifunze kitu kutoka kwake.
Laasivyo ataishia kuvaa tasibihi kubwa inaburuza miguuni kama mwenzake
 
 
Pesa haina kelele na haitaki kelele

Post in thread 'Ogopa hizi shuhuda' Ogopa hizi shuhuda
 
Mwanaume yeyote kuwa Chawa ni Kujidhalilisha

Huyo Chief GodLove sijui, hana tofauti na kina Mwijaku

Wote wanahongwa hongwa pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…