Lugumi alikuwa anapiga brush viatu town Mwanza, rafiki zake wengi pale walikuwa tax drivers, Lugumi aliyempa mifumo akafika hapo ni mwanamke.
Yule mwanamke alikuwa mtoto wa kigogo, jamaa akatumia fursa vilivyo, nilisikia walisha divorce na huyo mdada, now niseme ni mmama.
Jamaa alipotea, aliporudi pale town kwa washikaji zake, kwanza aliwaita hoteli moja ya kifahari, akawa anauliza mmoja baada ya mwingine ana shida gani na anataka pesa kiasi gani, jamaa hapo yupo na briefcase imejaa noti...
Wale jamaa zake walipigwa pesa pale wengi wao hawakuamini, wanajiuliza huyu jamaa si alikuwa ana brush viatu? kesho hawakufika kwenye kazi zao, wengine wakaacha na kazi kwa ma boss zao baada ya kuwezeshwa mitaji...
Sema ni jamaa flani good heart sana... hana noma... anazijua shida...