Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Huko kooote hua wanafuata nini!!?
JamiiForums-927271018.jpg
 
Katika Hali ya kushangaza show ya mwandada Zuchu imedoda baada ya watu kutokutokea kwenye show , unaambiwa kulikuwa na maraia kama 20 tuu hv , na wako busy na mambo Yao , huku wakimpiga picha mara moja moja yaan hawawaelewi..... hata hvyo bila kupepesa macho amekiri Hali hyo na kusema kuwa ameichukulia kama changamoto ili kumfanya ajipange zaidi japo amesema wazi inavunja Moyo






View attachment 2421250

Katika hatua nyingine diamond platnumz yeye amefanya vyema katika jiji la Melbourne Australia


Huston ndo wapi
 
Back
Top Bottom