Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Aanze na yule aliyeigiza kama yesu kwanza, nani alimrusu afanye hayo maigizo
 
Nilijuwa tuu,italeta figisu.😂😂😂😂😂😂
 
Una matatizo si bure
 
Nauliza hivi, lingetumika jeneza lile la msikitini ungeandika haya?
 
Duniani kuna misalaba ya aina nyingi sana.
Kuna misalaba ya Imani nyingi sana.

Kuna udhibitisho gani kuwa huo ulikuwa msalaba wa Kristo ?

Yale ni maigizo kama maigizo mengine tu ambapo Majeneza na Misalaba inatumika mara nyingi tu kwenye maigizo kama filamu tamthiria nk.
 
Huyo Askofu atakuwa Yanga, anadhihakiwa Yesu halalamiki. Jeneza na msalaba haukudhihakiwa hapo na wala si mara ya kwanza jeneza na msalaba kufanyiwa sanaa za maigizo.

Atupishe huko.
 
Huyo Askofu atakuwa Yanga, anadhihakiwa Yesu halalamiki. Jeneza na msalaba haukudhihakiwa hapo na wala si mara ya kwanza jeneza na msalaba kufanyiwa sanaa za maigizo.

Atupishe huko.
Tuliza akili we bibi, tuwe wakweli huyo aliyevalia kiaskofu na huo msalaba hivi lingekua lile jeneza lenu la msikitini na ingeshikwa tasbihi pale ungeongea haya? Mbona kila siku ni kuigiza kikristo tu na si kiislam?

Nyie kudhihakiwa kuran si huwa mnahamaki kiasi cha kuchoma makanisa? Punguza ashki kuwa realistic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…