Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Katika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.

Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo amesema Askofu kilaini

Je? Haya yanaweza kufanyika kwa upande wa dini nyingine? Hivi hawa wangeweza kwenda chukua jeneza msikitini na kufanya hii dhihaka na washabiki uwanjani wakashangilia?
Aanze na yule aliyeigiza kama yesu kwanza, nani alimrusu afanye hayo maigizo
 
Nilijuwa tuu,italeta figisu.😂😂😂😂😂😂
 
Katika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.

Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo amesema Askofu kilaini

Je? Haya yanaweza kufanyika kwa upande wa dini nyingine? Hivi hawa wangeweza kwenda chukua jeneza msikitini na kufanya hii dhihaka na washabiki uwanjani wakashangilia?
Una matatizo si bure
 
"Waamini"? Halafu kusingekuwa na "dini nyingine", jee angekuja na sababu gani? Kwanini yeye aseme, wakati madhehebu ya Kikristo ni mengi sana? Huyo siyo Kilaini, hawezi kuwa mjinga namna hiyo. Kilaini ni MAFIA kama wenzake. Member of an ancient, all male, Italian based, organized crime family.
Nauliza hivi, lingetumika jeneza lile la msikitini ungeandika haya?
 
Duniani kuna misalaba ya aina nyingi sana.
Kuna misalaba ya Imani nyingi sana.

Kuna udhibitisho gani kuwa huo ulikuwa msalaba wa Kristo ?

Yale ni maigizo kama maigizo mengine tu ambapo Majeneza na Misalaba inatumika mara nyingi tu kwenye maigizo kama filamu tamthiria nk.
 
Huyo Askofu atakuwa Yanga, anadhihakiwa Yesu halalamiki. Jeneza na msalaba haukudhihakiwa hapo na wala si mara ya kwanza jeneza na msalaba kufanyiwa sanaa za maigizo.

Atupishe huko.
 
Huyo Askofu atakuwa Yanga, anadhihakiwa Yesu halalamiki. Jeneza na msalaba haukudhihakiwa hapo na wala si mara ya kwanza jeneza na msalaba kufanyiwa sanaa za maigizo.

Atupishe huko.
Tuliza akili we bibi, tuwe wakweli huyo aliyevalia kiaskofu na huo msalaba hivi lingekua lile jeneza lenu la msikitini na ingeshikwa tasbihi pale ungeongea haya? Mbona kila siku ni kuigiza kikristo tu na si kiislam?

Nyie kudhihakiwa kuran si huwa mnahamaki kiasi cha kuchoma makanisa? Punguza ashki kuwa realistic.
 
Back
Top Bottom