House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Aanze na yule aliyeigiza kama yesu kwanza, nani alimrusu afanye hayo maigizoKatika hatua nyingine sakata la jeneza na msalaba katika simba day lachukua sura mpya.
Watu mbalimbali wamejitokeza kulaani kitendo cha mashabiki au watumbuizaji kuingia na jeneza na msalaba ambapo palikuwepo na mtu aliyevalia kiaskofu. Tukio hilo ni dhihaka kubwa kwa waamini wa kikristo amesema Askofu kilaini
Je? Haya yanaweza kufanyika kwa upande wa dini nyingine? Hivi hawa wangeweza kwenda chukua jeneza msikitini na kufanya hii dhihaka na washabiki uwanjani wakashangilia?