Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Unachokua wakati wa kufungua chai ya maziwa usitie sukari , fried meat sawa kabisa achana na chapati za ngano tumia za almond ama mbegu za maboga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia unachokula.na angalia unavyojaza mtumbo ndindindi.

Hakikisha tumbo halijai kula soft tu.

Ukila soft kula na daku soft tu haina haja ya kuninyima kwani hiyo njia hautadumu nayo lazima utarudi kwenye system yako ya kawaida tu.

Solution ni kula kawaida tu usijaze tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safuher, Mkuu mimi sio mtu wa msosi nakula kiasi ila nakula nachopendelea sana breakfast chapati mbili lost nyama au maini na chai ya maziwa sili tena paka usiku.....some time chapati moja tu ila uzito wangu haupendezi, miezi ya Ramadhani na funga na sitati( 6) pamoja ila wapi nikipaki gari town na tembea kwa mguu, average ya 3km kila siku ya kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimepima last week naitafuta 85 naumia lakini ratiba yangu nayo haina muda wa kutulia!!..
Mwenye kujua kupungua bila zoezi msaada tafadhali!!.. Huo ugoigoi poa tu
Kumbungua bila zoezi.... kwekwe kwe kwe hautaweza utakuwa unapigwa na njaa ya kufa mtu nishaona watu wa namna hii ofisini hawataki zoezi wanashinda na njaa wote waliishia njiani, waliweza mwz 2 na nusu kweli walipungua, kilichofuata Mungu anajua walikuwa wanakula balaaa

Anza zoez taratibu hata kukupiga push up 20 kwa siku na kunywa maji ambayo haiitaji mnada wa ziada, mwanzoni lazima cha moto ukione mwili unavo uma ila taratibu mwili unazoea utaongeza zaidi ha hapo
Mimi toka mwz 12 hadi sasa nimepungua sana walikuwa wananiniita bonge kitambi kilikuwa kinaanza kuchomoza nila sasa 6 pack naziona sinatumbo hata kidg na zoez napiga kila siku no excuse cos nimeamua kubadilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.

Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg
Hakika. Mimi nimeweza kudumu kwenye kg 60 kwa muda mrefu sana. Nakula pale ambapo nasikia njaa sio vingenevyo. Siku inaweza ikapita nikala mara moja kama sitasikia njaa siku imeisha. Zikipungua 58 zikizidi 62
 
Uzito wangu unacheza ndani ya 50 - 55 miaka zaidi ya 5 sasa... Niliwahi kuvuka 56 mara moja.. ni namna gani naweza kuongeza uzito wangu angalau ufikie 60kg urefu 163cm
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinywa maji mengi mkuu.

Alafu angalia menyu yako.

Wewe mwili wako una low metabolism.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badilisha breakfast hiyo. Inawezekana hiko ulichokula kina contain calories nyingi kuliko unazoweza kuunguza kwa siku hata kama unatembea kg3 kwa wastani kwa siku. Unywe maji ya kutosha chakula cha jioni kisiwe heavy na ule angalau mwisho saa moja jioni sio zaidi ya hapo.
 
Dah inabidi kujinyima kweli, nimekaa sana na njaa nimetumia sana madry gin walinambia yanakausha damu automatic kupungua ila wapi!..
 
Kwahyo mchana wote natumia maji tu au haata maji NO!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…