mulwanaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 5,262
- 12,855
Hivi vyakula vipi hambavyo havina wanga? Ukitowa mboga mboga na matunda sasa Nile nini mkuu?Mkuu usisubiri ramadhani Anza leo ... Usiku chakula chako kisiwe na wanga na sukari kwa sana... Funga mwezi mzima halafu ulete mrejesho hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app