Shukrani kwa kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu, amefariki dunia

Pole. Atakayekuoa sasa atakua na amani moyoni.
Mi mwenyewe single maza aliyefiwa mume ndo nitaweza muoa.
 
Poleni sana kwa yote! Kweli Duniani bado wapo watu wema wenye imani, Mwenyezi Mungu awabariki sana.
 
Umeamua kumfata tena sio???
Na kwanini unamuandama Mamndenyi???
Em mama weka ushuhuda hapa huyu kijana ulimfanya nini mpaka akakuandama kila unapopita?
Maana naona ana kasi ya ajabu kwako.


Wala,

I do not know her,never met her,never..

I have ana uncanny hatred na watu wanao ombaomba,especially mtu anaetumia nafasi yake ya kujulikana,au anything kama mtaji wa kuombea....I really despise people who project somekind of fake persona kuomba watu anything...

Mamdenyi ni msomi,mwenye kazi,hana ulemavu wowote,ila I can sense ana habit za kitapeli kutumia her influence na umaarufu wake JF kuelezea shida zake ambazo 90% ya watu wote humu tunakutana nazo on the daily basis ila yeye anataka asaidiwe....

I will debunk her
 
Dah! Inasikitisha sana.
 
Hiyo laki nne uliitoa wewe?
Kama ndiyo pole

Kama siyo wacha kuumia roho na mali ya mwenzako.
 
Kama humjui ulijuaje kwamba ana kazi yake em thibitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…