Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Sibure ana lake jambo huyu...walishazika sas uchangie nini tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sibure ana lake jambo huyu...walishazika sas uchangie nini tena?
Umeamua kumfata tena sio???www.ombaomba.com = mamdenyi
Azeeke mara ngapi.Ukizeeka Utakuwa mchawi naona imekuuma kwelikweli.
Ule aliukimbia.Miss Natafuta umesoma huu uzi? yule mgonjwa kafariki. Tuungane na mwenzetu katika kipindi hiki kigumu
Poleni sana kwa yote! Kweli Duniani bado wapo watu wema wenye imani, Mwenyezi Mungu awabariki sana.Salamu sana wana jamii wote.
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana familiya hii wote kutokana na kuitikia ombi langu la kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu aliyekuwa anaumwa.
Nilipata michango kiasi cha shilingi laki nne hivi. Niliweza kwenda na vijana wangu wawili.
Nilikuta amelazwa Hosp ya rufaa Mbeya. Nilifanikiwa kuongea naye na tulifanikiwa kushikana mikono na kutangaziana msamaha.
Tuliendelea Kuuguza na ilipofika 21/2 alifariki. Tulizika 23!2 tulimzika.
Nawashukuru sana. Mungu awabariki.
Umeamua kumfata tena sio???
Na kwanini unamuandama Mamndenyi???
Em mama weka ushuhuda hapa huyu kijana ulimfanya nini mpaka akakuandama kila unapopita?
Maana naona ana kasi ya ajabu kwako.
Dah! Inasikitisha sana.Pole zake ila wewe tunakujua ni mkware ushaanza kuzengea mjane kabla hata arobaini haijaisha umeshaanza kupandisha jeki yako katikati ya mapaja.Acha ukware wa kupindukia .Hiki ni kipindi cha maombolezo pole sana Mamndenyi.Wee malaya subiri walau arobaini ya mzazi mwenzie wa Mamdenji iishe ndio upandishe nyege zako. Loooo mtu mzima hovyo!!!
Hiyo laki nne uliitoa wewe?Wala,
I do not know her,never met her,never..
I have ana uncanny hatred na watu wanao ombaomba,especially mtu anaetumia nafasi yake ya kujulikana,au anything kama mtaji wa kuombea....I really despise people who project somekind of fake persona kuomba watu anything...
Mamdenyi ni msomi,mwenye kazi,hana ulemavu wowote,ila I can sense ana habit za kitapeli kutumia her influence na umaarufu wake JF kuelezea shida zake ambazo 90% ya watu wote humu tunakutana nazo on the daily basis ila yeye anataka asaidiwe....
I will debunk her
Kama humjui ulijuaje kwamba ana kazi yake em thibitisha.Wala,