Shukuru Kawambwa kwenye mgogoro wa ardhi na diwani mstaafu, Hassani Usinga. Watishiana kufungana pingu

Kwani Msoga ni kina nani hasa kuna watu wana mahakama zao za duniani za kulilia kama mnategemea cjui msoga sijui polisi watu tuna mahakama zetu za duniani mengine hatumwachii Mungu anakazi nyingi za kufanya tunashughulika na MHUSIKA usijidanganye
Thubutu ogopa mamlaka hata mungu amekwambia heshimu mamlaka kwa akili yako fupi wewe unaweza kushibdana na jk??? Unachekesha
 
Nadhani huyo jamaa ni mjinga
We unapayuka wenzako wametulia unawasukuma hawareact bado unatumia nguvu ilhali watu wapo at ease

Sasa hapo ataijua SIRI KALI
Na kuna Sauti ya DELILA na CHAWA inamcharua awake zaid
 
Nadhani huyo jamaa ni mjinga
We unapayuka wenzako wametulia unawasukuma hawareact bado unatumia nguvu ilhali watu wapo at ease

Sasa hapo ataijua SIRI KALI
Na kuna Sauti ya DELILA na CHAWA inamcharua awake zaid
Jamaa alikosea Sanaa 😊 atabinywa mbupu mpaka akili imkae sawa

NB.
Ana nafasi ya kumpigia magoti kawambwa atamsamehe wakati mwingine vijana tunajisahau sanaa
 
Mwenye nguvu mwite pawa, jamaa atatia adabu hapo ataanza kuombwa leseni ya kuendeshea machimbo ya mchanga. Akikosa kesi itakayoibuka sasa.
 
Kwani Msoga ni kina nani hasa kuna watu wana mahakama zao za duniani za kulilia kama mnategemea cjui msoga sijui polisi watu tuna mahakama zetu za duniani mengine hatumwachii Mungu anakazi nyingi za kufanya tunashughulika na MHUSIKA usijidanganye
Ndugu unadhani hiyo mahakama unayo peke yako. Hao manguli wana vyote,connection na hizo mahakama.
Mtu awe mbunge,kisha Waziri unadhani hajui machimbo ya hizo mahakama ?
 
Hii ndio shida ya watanzania, wakipata ajira sijui busara inaenda wapi. Kwani hata ukiwa na mamlaka huwezi kuongea na watu vizuri mkaeleweshana mpaka ufoke?

Sasa hata kama hakumfahamu Dr.Kawambwa, alipaswa kuongea nao vizuri tu, na hata kama unampeleka mtu polisi unamueleza kawaida hapa umefanya makosa, na ina bidi twende polisi ukatoe maelezo, au tutakushitaki ili huyu mlalamikaji apate haki yake.

Lakini Duh utafikiri mtu kaingiwa mashetani/majini anapayuka na kelele utadhani mwehu.

Uzee ni mtakuja hata uwe kijana vipi utazeeka tu, sasa kwanini usiwe na busara na hekima unapoongea na wazeee?

Tukiwa kwenye ofisi zetu tuwe na busara na ustaarabu kidogo.
 
Mheshimiwa ana PhD vile????ila degree ya kwanza.......haya bhana!!!
 
Hao jamaa wnaopiga kelele Kuna mahala kwenye video imeonekana jamaa ameshika pingu swali najiuliza hyo pingu kapataje?

Kitu Cha busara kama unaweza kutumia busara ya mazungumzo Ili yaishe jitahid iwe hvyo na ukiwa kwenye ugomvi kama Kuna mwanamke ondoka eneo Hilo sababu mwanamke n petroli kwenye ugomvi hasa akiwa upande wako!
 
Mwache ajichomeshe mwenyewe! Nakumbuka Jerry Muro naye aliwahi kukamatwa akiwa na pingu! Ngoja Kamanda Pio Lutumo aje aibuke naye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…